Botafogo yamfuta kazi kocha Paiva MIAMI, MAREKANI: BOTAFOGO imemfuta kazi kocha Renato Paiva saa 48 baada ya timu hiyo kutupwa nje ya fainali za Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani. Miamba hiyo ya Brazil ilisukumwa nje ya...
Prisons yagoma kushuka, yaichongea Fountain Gate MAAFANDE wa Tanzania Prisons wamegoma kushuka daraja kwa mara nyingine baada ya kuifumua Fountain Gate mabao 3-1 katika mechi ya marudiano ya play-off iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini...
Man United haitanii dili la Ollie Watkins MANCHESTER United imeongeza juhudi zake katika kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa na timu ya taifa ya England, Ollie Watkins katika dirisha hili.
Chelsea v PSG kombe la Dunia fainali ya pesa CHELSEA na PSG zimeonyesha kiu yao ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia kwa Klabu baada ya kutinga fainali kibabe baada ya kushinda mechi za nusu fainali katika michuano inayoendelea...
Axel Tuanzebe aishtaki Man United MAMBO ni moto. Manchester United imefunguliwa mashtaka na mchezaji wao wa zamani Axel Tuanzebe akiishutumu timu hiyo kushindwa kumpatia ripoti nzuri za kitabibu, imeelezwa.
Chelsea inaongoza matumizi ya pesa EPL! NDO hivyo. Chelsea ndiyo timu iliyofanya matumizi makubwa ya pesa kwenye Ligi Kuu England kuliko timu nyingine zote na imezizidi klabu wapinzani kwa pesa nyingi sana.
Kisa Arsenal, Henry amvaa Mikel Arteta LEJENDI wa Arsenal, Thienry Henry amekosoa Arsenal kwa kushindwa kwao kupata mataji akiwalinganisha na Manchester United ambayo kila tu anaicheka kutokana na kiwango chao.
Kisa Uefa, Paris yazidi kukumbwa na vurugu JIJI la Paris limejikuta kwenye vurugu kwa siku mbili mfululizo baada ya kuzuka kwa sintofahamu katika siku ya pili kufuatia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati PSG ilipokuwa ikitembeza...
Waarabu bado wanaitaka Man United INAELEZWA tajiri kutoka Qatar, Sheikh Jassim bado hajakata tamaa ya kuimiliki Manchester United licha ya kufeli 2023.
Bruno akataa Sh725 Bilioni SUPASTAA wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes amekataa ofa ya kushangaza kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabiai.