Juventus yajitosa kwa Sancho, Napoli bado ipo JUVENTUS ya Italia ni miongoni mwa timu zinazohitaji saini ya winga wa Manchester United, Jadon Sancho, 25, dirisha hili la majira ya kiangazi lakini inakumbana na upinzani mkali kutoka Napoli.
Emiliano Martinez anaitaka Man United KIPA Emiliano Martinez amepanga kulazimisha dili la kwenda kujiunga na timu ya ndoto zake, Manchester United, imeelezwa.
Zubimendi ni suala la muda tu Arsenal KIUNGO wa Kihispaniola, Martin Zubimendi ameripotiwa kutua London kwenda kukamilisha mpango wake wa kujiunga na Arsenal kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Sasa Basi! Game 7 kuamua Mfalme wa NBA 2025 WAKATI mshale wa saa ukielekea kesho, Jumatatu saa 3:00 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki, macho na masikio ya wapenzi wa mpira wa kikapu yataelekezwa kwenye Uwanja wa Paycom Center katika...
R.Kelly agonga mwamba, agomewa kuachiwa gerezani MKONGWE wa muziki wa R&B, Robert Kelly maarufu kama R.Kelly, amekataliwa ombi lake la kuachiwa kutoka gerezani siku chache baada ya mawakili wake kudai kuwa alizidishiwa dawa kutokana na...
Esperance yazinduka, yavuna mabilioni, Bayern ikitinga 16 Bora CWC WAWAKILISHI wa Afrika katika fainali za Kombe Dunia la Klabu (CWC) 2025, Esperance ya Tunisia imezinduka kwa kupata ushindi dhidi ya Los Angeles ya Marekani na kuvuna mkwanja wa maana unaotolewa...
Hizi hapa dabi hamsini EPL 2025/26 LONDON, ENGLAND: MKEKA wa ratiba ya Ligi Kuu England umeshawekwa hadharani, ambapo sasa mikikimikiki hiyo itaanza rasmi, Ijumaa ya Agosti 15, wakati mabingwa watetezi Liverpool watakaporusha kete...
Mechi tisa zaleta shida Man City MANCHESTER City imekumbana na adhabu ya kupigwa faini ya Pauni 800,000 baada ya kufanya makosa kwenye mechi tisa za Ligi Kuu England kwa kuvunja kanuni za mchezo.
Mwanetu Joao Felix amepoa hapa! STAA wa Chelsea, Joao Felix hatimaye ameanza kutupia nyavuni baada ya kufanikiwa kumnasa mrembo matata kabisa wa Colombia, Valentina Rueda Velez.
UKIZUBAA UMELIWA: Mamelodi, Inter Milan, Dortmund zarusha kete muhimu Kombe la Dunia HUKO kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu mambo yamezidi kunoga.