Ishu ya straika, Man United yatua kwa Keane MANCHESTER United inaonyesha nia ya kumsajili straika wa Fiorentina na timu ya taifa ya Italia, Moise Kean, 25, ambaye ana kipengele cha kuondoka ikiwa timu inayomtaka italipa Euro 52 milioni...
Garnacho awatibua mashabiki Man United MASHABIKI wa Manchester United kwa hasira wametuma meseji za kumfukuza staa wao Alejandro Garnacho baada ya kuonekana akiwa amevaa jezi ya Aston Villa yenye jina la Marcus Rashford.
Chelsea kujiweka pabaya Marekani CHELSEA ipo kwenye hatari ya kupangwa na timu ngumu kwenye hatua ya mtoano baada ya kupoteza dhidi ya Flamengo, Ijumaa iliyopita.
PRIME Fei Toto wa 2024 sio huyu wa 2025 MWANZONI mwa mwezi Juni, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilifanya ziara maalumu Afrika Kusini. Ikiwa huko ilicheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya wenyeji Afrika Kusini na ikashiriki...
MRBEAST: YouTube ni dunia yake KATIKA moja ya mahojiano ya Cristiano Ronaldo alipokuwa akielezea kilichomsukuma hadi kufungua chaneli yake ya YouTube ni watoto wake walimwambia hata kama akiwa na chaneli hatoweza kumpita...
Singida Black Stars yaanza na mashine hii UNAMKUMBUKA kiungo mshambuliaji Raouf Bao ambaye alionyesha kiwango bora katika mashindano ya Mapinduzi Cup 2025 yaliyofanyika Zanzibar akiwa na kikosi cha timu ya taifa Burkina Faso? Sasa...
Arsenal yapasua kichwa kwa Sesko ARSENAL inazidi kukatishwa tamaa na straika wa RB Leipzig, Benjamin Sesko juu ya madai yake ya mshahara anaohitaji ili kujiunga nao.
Oklahoma City Thunder yabeba ubingwa NBA 2025 Oklahoma City Thunder imeandika historia kwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), baada ya kuichapa Indiana Pacers kwa pointi 103-91 katika mchezo wa saba (Game 7) ya fainali...
Rashford aweka wazi ishu ya Barcelona STAA wa Manchester United, Marcus Rashford ameweka wazi anataka kujiunga na Barcelona dirisha hili ikiwa itapatikana nafasi hiyo.
De Bruyne ampigia debe Grealish Napoli KIUNGO wa Manchester City Kevin de Bruyne ambaye anatarajiwa kujiunga na Napoli katika dirisha hili inadaiwa kumuomba kocha wa Napoli, Antonio Conte amsajili Jack Grealish.