Man United yarudi sokoni kusaka straika MANCHESTER United inapambana kwa nguvu zote kunasa straika mpya kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Liverpool tatu za kibabe zinakuja! PENGINE ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, lakini hilo wala haliifanyi Liverpool kubweteka. Miamba hiyo ya Anfield imekuwa bize sana kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi...
Ile ya Mbeumo imekwisha bana! HATIMAYE, Manchester United imempata staa wake iliyemsaka kwa muda mrefu kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi na sasa, Bryan Mbeumo atajiunga na wenzake kwa ajili ya ziara ya pre-season...
Huko Barca... Huku Rashford, kule Yamal BARCELONA imekamilisha dili la mkopo la kumnasa Marcus Rashford, ikimsaidia staa huyo wa England kichaka cha kwenda kujificha baada ya kupigwa chini huko Manchester United na kocha Ruben Amorim.
Miaka kumi ya pata potea Son, Spurs WAINGEREZA walikuwa wanaumia sana kuona Harry Kane akiwa anatimiza miaka 30, halafu katika kabati lake hana medali ya ubingwa unaoeleweka. Bosi wa Spurs, Daniel Levy alipindua kisogo kila wakati...
Isak afanya mazoezi peke yake akiisubiri Liverpool STRAIKA wa Newcastle, Alexander Isak ameonekana akifanya mazoezi peke yake katika klabu yake ya zamani, Real Sociedad, huku hatima yake ndani ya Newcastle United ikiwa bado haijulikani.
Donnarumma Manchester United, mikono salama HABARI ndo hiyo. Manchester United inapiga hesabu kali za kumnasa kipa kiboko kwa kudaka, Gianluigi Donnarumma baada ya klabu yake ya Paris Saint-Germain kukubali ofa ya Pauni 34.9 milioni ya...
Klabu za England zashindana matumizi LIVERPOOL pengine imetumia mkwanja mrefu kwenye usajili wa majira ya kiangazi, ikitumia zaidi ya Pauni 250 milioni, lakini Arsenal ndiyo timu iliyotumia pesa ndefu rasmi hadi sasa kwenye dirisha...
Lijendi kasema...hawatoboi LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesema licha ya kutumia Pauni 250 milioni katika usajili wa dirisha hili, haioni Chelsea ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu ujao.
Nani abaki, aondoke Arsenal BAADA ya kushuhudia majeruhi wakitibua mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu, Arsenal inaweza kuchukua uamuzi wa kupangua kikosi kwa kuondoa baadhi ya mastaa na kuleta wengine wapya...