Deni laiponza Lyon, yashushwa daraja hadi Ligue 2 Ufaransa
, kundi la Eagle Football, ambalo ndilo wamiliki wa klabu hiyo ya Ufaransa, walichukua hatua mbalimbali za kifedha kujaribu kuishawishi DNCG kuwa hali ya kifedha ya klabu hiyo imeimarika kwa kiasi...