Rodri kupewa Juve, Mwalimu mzigoni KIUNGO, Rodri huenda akarejea uwanjani kuanza kwenye kikosi cha Manchester City kitakachochuana na Juventus katika mechi ya Kombe la Dunia la Klabu, Alhamisi
Bei ya Rodrygo yawekwa ubaoni REAL Madrid imeripotiwa kuweka ubaoni bei anayouzwa staa wao, Rodrygo anayesakwa na Arsenal kuwa ni Euro 90 milioni.
Pogba: Monaco? Bado sijasaini KIUNGO wa boli, Paul Pogba amesema tena kwa msisitizo “sijasaini chochote” wakati huu ikiripotiwa kuwa staa huyo wa zamni wa Manchester United atajiunga na Monaco.
PRIME Fei Toto, Yanga kimeeleweka KUNA furaha inaendelea Jangwani yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, hiyo ni baada ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo na ya 31 kihistoria. Wakati furaha hiyo...
Sikia hii! Darwin Nunez sasa anaitaka Napoli STRAIKA wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, mwenye umri wa miaka 25, ameitaja Napoli kuwa ndio timu anayopendelea kujiunga nayo ikiwa ataondoka Anfield katika dirisha hili la...
Chelsea Yachekelea Kane kuwabeba MASHABIKI wa Chelsea wanaamini kwamba timu yao imepata fursa nzuri ya kufika fainali ya Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani kwa msaada wa makosa ya Harry Kane kukosa bao la wazi la kuifungia...
Hali ya hewa ni shida Kombe la Dunia HALI ya hewa imeendelea kuwa shida kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani baada ya kipute cha Boca Juniors na Auckland City kulazimisha kusimamishwa kwa muda.
Thamani ya vikosi England hii hapa LABU za Big Six za Ligi Kuu England hadi sasa zinaundwa na vikosi vya thamani ya Pauni 5 bilioni baina yao huku pengo la thamani ya vikosi kwenye ligi hiyo likizidi kutanuka.
Esperance walia na ubora wakitupwa nje Kombe la Dunia Esperance imekiri kwamba ubora wa Chelsea dhidi yao umeamua kwa kiasi kikubwa matokeo ya mchezo baina yao katika mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Dunia la Klabu iliyochezwa...
Sikia masikitiko ya mwanasoka Owen Hargreaves KWA wazazi wengi duniani, kama kuna kitu kinachowapa furaha ni kuona watoto wao wanafikia ndoto za juu kabisa za mafanikio kwa kile kitu wanachojishughulisha nacho.