Aslay hataki kushobokea tena WALIOSEMA aisifiaye mvua imemnyeshea, wala hakukosea baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini aliyeibuliwa na Kituo cha Mkubwa na Wanae kisha kutamba na Yamoto Band, Aslay kufichua jambo...
PRIME Pacome awavuruga mastaa Bongo Movie alinivuruga sana nikasema hapa ushindi Yanga ni lazima,” alisema Wema, huku Caren Simba akisema; “Nikiwaambia hakuna kama Pacome naanza kuzushiwa ishu za mapenzi, ukweli mechi ya Simba na Yanga ya...
Cooper Flagg na Wenzake Watikisa Raundi ya Kwanza NBA Draft 2025 KATIKA kila kona ya Marekani kipindi cha “NBA Draft” kinatazamwa kwa jicho la matumaini, hofu na msisimko.
Mastaa Chelsea kila mtu anauzwa KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema kwenye kikosi chake hicho cha Stamford Bridge hakuna mchezaji yeyote ambaye yupo salama kwa maana ya kupigwa bei katika kipindi hiki dirisha la usajili...
Amorim ataka aletewe msaidizi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amewaomba mabosi kufanya kila wanaloweza ili kumletea msaidizi wake wa zamani Acacio Valentim wapige mzigo Old Trafford.
Messi v Dembele Kombe la Dunia la Klabu ni bonge moja la mechi BONGE la mechi ndicho unachoweza kusema, wakati mashabiki wakisubiri kipute cha maana cha mabingwa wa Ulaya, Paris Saint-Germain watakapokumbana na miamba ya Marekani, Inter Miami kwenye mchezo...
Liverpool yatega kijanja kwa Isak LIVERPOOL ipo tayari kuvutavuta muda kwenye mchakato wa kunasa saini ya mshambuliaji wa Newcastle United, Alexander Isak.
Mbeumo na Man United ni kama imeisha! BRYAN Mbeumo anaweza kuwa staa mpya wa Manchester United hadi kufikia mwisho wa wiki ijayo, imeelezwa.
Arsenal mzuka, bei ya Sesko yashuka ARSENAL imepata mzuka kwenye mchakamchaka wa kumfukuzia straika Benjamin Sesko baada ya klabu ya RB Leipzig kuripotiwa kushusha bei.
Bei ya Semenyo yashtua vigogo wa soka England MANCHESTER United, Newcastle na Tottenham zote zimeonyesha kukatia tamaa uwezekano wa kuipata saini ya mshambuliaji wa Bournemouth na timu ya taifa ya wa Ghana, Antoine Semenyo, mwenye umri wa...