PRIME Jicho la tatu pingamizi la Yanga kwa Karia JUMAMOSI ya Juni 28, saa 9:30 alasiri, mabingwa wapya wa soka nchini, Yanga waliwasilisha pingamizi lao dhidi ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia likiwa limesainiwa na...
PSG yamng’oa Messi kibabe Kombe la Dunia la Klabu SAFARI ya Lionel Messi katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu inayoendelea nchini Marekani imefikia tamati baada ya timu anayoichezea kwa sasa, Inter Miami ya Marekani jana usiku kufumuliwa...
Nico Williams aipa sharti moja Barcelona MBALI ya kukubali na kutamani sana kujiunga na Barcelona, winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams ametoa sharti moja kwa mabosi wa timu hiyo kabla hajasaini mkataba.
Billnass ajilipua ishu ya afya ya akili MSANII maarufu wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘BillNass’ ameshindwa kujizuia na kujilipua kuhusu ishu ya tatizo la afya ya akili kwa kuwataka vijana wadogo wenye vipaji wanaotamani kuingia kwenye...
TOM CRUISE: Muvi kali zipo na mkwanja upo TOM Cruise ni mmoja wa waigizaji maarufu na wenye mafanikio makubwa zaidi katika historia ya Hollywood.
Manchester United kupasuka mamilioni kisa mastaa wake MANCHESTER United ipo katika hatari ya kutumia mamilioni kwa msimu ujao ili kuwaondoa katika timu wachezaji ambao haiwahitaji.
Simbu ajitosa kuibua vipaji MWANARIADHA wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu amejitosa kuibua vipaji vya michezo lengo ikiwa ni kuwa daraja la vijana kutimiza ndoto zao kama ilivyo kwake.
Viktor Gyokeres apewa muda STRAIKA wa Sporting Lisbon na timu ya taifa ya Sweden, Viktor Gyokeres, anayewindwa na Manchester United, Liverpool na Arsenal, amepewa muda wa ziada wa mapumziko na na timu yake wakati suala...
Ada kikwazo uhamisho wa Darwin Nunez kwa Napoli STRAIKA wa Liverpool, Darwin Nunez yuko tayari kujiunga na Napoli katika dirisha hili la majira ya kiangazi, lakini changamoto kubwa inayokwamisha dili hilo ni Napoli kutokuwa tayari kutoa pauni...
Maresca achafukwa Kombe la Dunia la Klabu LICHA ya timu yake kupata ushindi na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia la Klabu, kocha wa Chelsea, Enzo Maresca alikosoa mechi yao dhidi ya Benfica ya 16 bora akisema haikuwa mchezo...