Ayton ni suluhisho la ulinzi Lakers? TIMU ya Los Angeles Lakers imefanikiwa kutimiza moja ya malengo yake makubwa ya dirisha la usajili baada ya kufikia makubaliano na Deandre Ayton, aliyekuwa mchezaji wa Portland Trail Blazers, kwa...
Mastaa kibao wahudhuria maziko ya Jota MASTAA wenzake Diogo Jota wa sasa na zamani kwenye kikosi cha Liverpool wamewasili huko Ureno kwenda kuhudhuria maziko ya mchezaji huyo aliyefariki dunia ajalini, Alhamisi alfajiri.
Man United hii, itafanya jambo MANCHESTER United imeanza dirisha la usajili kwa kufungua pochi nene - lakini huo ndio kwanza mwanzo, mambo bado hayajaisha.
Msiombe Arteta apate hii timu ARSENAL bado haijakamilisha dili la maana kwenye dirisha hili, lakini kama wachezaji wake wote inaowataka ikiwanasa, basi chama la Mikel Arteta litakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao.
Alisson aondolewa mtu wake Anfield KIPA, Alisson ameripotiwa kukuna kichwa kwa sasa huko Liverpool akiwaza itakuwaje baada ya kudaiwa kuwapo na mabadiliko makubwa kwenye idara ya makipa ya klabu hiyo.
Kazini kwa Alexander-Arnold kuna kazi! BEKI, Trent Alexander-Arnold ameambiwa asijidanganye kwamba amejihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza cha Real Madrid kwa sababu anayecheza nafasi hiyo ni mbishi.
PRIME Jota alivyokutana na mkewe maktaba ya sekondari LIVERPOOL, ENGLAND: BARABARA iliyomuua Diogo Jota ni hatari sana na kumekuwa na ajali za kutisha, kwa mujibu wa maelezo ya madereva na maofisa usalama wa wanaoishi eneo hilo. Kuna kona kali...
PRIME Kocha mpya Yanga kutua na straika MEZANI kwa mabosi wa Yanga kwa sasa kuna majina mawili ya makocha wanaopigiwa hesabu, mmoja aje kuinoa timu hiyo kuziba nafasi ya Miloudi Hamdi aliyetua Ismailia ya Misri, lakini kuna jambo...
Ibenge rasmi Azam, afichwa hotelini MWANASPOTI limejiridhisha kwamba Kocha maarufu raia wa DR Congo, Florent Ibenge yupo Dar es Salaam.
Fountain Gate yaizima Stand United kwao Fountain Gate imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United kwenye mchezo uliojaza mashabiki wengi. Fountain imefika hapa...