Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8125 results for Mwandishi Wetu :

  1. Lijendi kasema...hawatoboi

    LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesema licha ya kutumia Pauni 250 milioni katika usajili wa dirisha hili, haioni Chelsea ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu ujao.

  2. PRIME Conte, Casemiro wafunika Yanga

    KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa mashindano kuna balaa la mastaa wapya wa timu hiyo ambao Mwanaspoti lilipata...

  3. PRIME Ateba akitoka, huyu anaingia!

    KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kikiwa kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano na kuna kazi ya maana inaendelea kufanywa na kocha Fadlu Davids akisuka kikosi kwa...

  4. VAR yaiokoa Kenya kwa Angola, yabaki kileleni

    Kenya imenusurika kupoteza mechi ya kwanza nyumbani ikilazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Angola kwenye mchezo wa pili wa Kundi B wa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).

  5. Mkwasa ataka mabao zaidi CHAN

    KOCHA wa zamani wa Yanga na timu ya taifa, Taifa Stars, Boniface Mkwasa amesema benchi la ufundi la timu ya taifa lina kazi kubwa ya kufanya kwa kuhakikisha washambuliaji wanatumia nafasi...

  6. Mabosi wa Azam wamtega Ibenge

    MABOSI wa Azam FC wamemtega kimtindo kocha mkuu wa timu hiyo, Florent Ibenge baada ya kuweka bayana malengo ya msimu wa 2025-26 kwamba ni kupiga hatua kubwa katika mashindano yote watakayoshiriki...

  7. Kocha mpya Dodoma apiga mkwara

    ALIYEWAHI kuwa kocha wa timu ya taifa ya Rwanda ‘Amavubi’, Vincent Mashami aliyepewa mkataba wa mwaka mmoja wa kuinoa Dodoma Jiji, amepiga mkwara kwamba licha ya kujua ugumu uliopo mbele yake...

  8. Tatu za EPL vitani kuwania saini ya Raheem Sterling

    TOVUTI ya TalkSport imefichua kuwa mshambuliaji wa Chelsea na timu ya taifa ya England, Raheem Sterling, anawindwa na klabu tatu za Ligi Kuu England ambazo ni Fulham, Crystal Palace na West Ham...

  9. Arteta atoa neno kiwango cha Gyokeres

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesisitiza mshambuliaji wao mpya, Viktor Gyokeres aliyesajiliwa kwa Pauni 64 milioni atakuwa kwenye 'hali nzuri sana' kabla ya kuanza kwa msimu ujao wa Ligi Kuu...

  10. Simulizi ya wamachinga viwanja vya soka Afrika

    KILA nikifika Dar es Salaam, Tanga au Morogoro hujaribu kukutana na wachezaji wa kandanda niliokuwa nao kuanzia mwisho wa miaka ya 1960 hadi katikati ya miaka ya 1980.

    KIJIWE Pict
Previous

Page 386 of 813

Next