Aguero aitaja Man City, Foden STAA wa zamani wa Manchester City, Sergio Aguero anaamini timu hiyo itanyakua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu na kiungo mshambuliaji Phil Foden atabeba tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka.
Macho yote kwa Sesko, Gyokeres NI balaa. Manchester United na Arsenal zitapigana vikumbo wikiendi hii katika mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu England.
Mastaa Chelsea kuipa pesa familia ya Jota MASTAA wa Chelsea watachangia sehemu ya bonasi zao watakazolipwa baada ya kubeba ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu kwa familia ya mchezaji Diogo Jota, ambaye alifariki dunia akiwa na miaka 28.
Pointi za ubigwa EPL MSIMU wa Ligi Kuu England 2025/26 umeanza rasmi wikiendi hii, ambapo miamba 20 itachuana kuwania ubingwa huo.
Joe Cole karata yake kwa Wirtz STAA wa zamani wa Liverpool, Joe Cole amesema haamini Florian Wirtz hawezi kushindwa kutamba kwenye Ligi Kuu England kwa sababu tu amesajiliwa kwa pesa nyingi kwamba itamfanya kuwa na presha.
TFF mambo yote yapo Tanga LICHA ya ukweli usiku wa leo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanjani kukamilisha ratiba ya mechi za Kundi B ya michuano ya CHAN 2024, lakini macho na masikio ya wadau wa soka...
Mzigo mpya EPL, mambo mapya MSIMU wa 2024-25 ukiwa umemalizika muda si mrefu, tayari mchakamchaka mpya wa 2025-26 wa Ligi Kuu England umeanza rasmi usiku wa jana Ijumaa.
Mabosi Chelsea waendelea kupambania dili la Garnacho CHELSEA inaendelea na juhudi za kumsajili winga wa kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho kutoka Manchester United katika dirisha hili la usajili.
Arsenal bana, eti waamini jezi itashinda MASHABIKI wa Arsenal wanaamini timu yao itaichapa Manchester United kwenye mchezo wao wa kwanza baada ya kubainisha jezi ambazo zitavaliwa na mastaa katika mechi hiyo ya Old Trafford.
Wasauzi wamwashia taa ya kijani Maema Simba MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini, imetangaza rasmi, kuondoka kwa kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Neo Maema.