Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8553 results for Mwandishi Wetu :

  1. Hotuba ya AI, Cristiano Ronaldo ajitetea

    NYOTA wa soka duniani Cristiano Ronaldo amekiri kutumia teknolojia ya akili bandia (AI) kuandaa hotuba yake katika hafla ya utoaji tuzo za Portugal Football Globes, baada ya kupokea tuzo maalum...

    RONALDO Pict
  2. Man United hapajatulia, Amorim ana kazi nyingine

    KLABU ya Manchester United sasa ina alama nne pungufu ikilinganishwa na ilivyokuwa msimu uliopita baada ya kucheza mechi zilezile saba za mwanzo, kwa mujibu wa jedwali la kulinganisha...

    AMORIM Pict
  3. Dani Alves, mkewe wapata mtoto

    BEKI wa zamani wa Barcelona, Dani Alves, na mkewe Joana Sanz wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza pamoja, miezi saba baada ya hukumu yake ya ubakaji kufutwa, kwa mujibu wa ripoti.

    ALVES Pict
  4. Cristiano Ronaldo atajwa bilionea wa kwanza mwanasoka

    MSHAMBULIAJI nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ametangazwa kuwa mcheza soka wa kwanza duniani kufikia utajiri wa bilionea, baada ya thamani yake ya mali kukadiriwa kufikia pauni 1.04 bilioni.

    CR7 Pict
  5. Safari ya Guimaraes na Joelinton yageuka shubiri, ndege yageuza angani

    NYOTA wa Newcastle United, Bruno Guimaraes na Joelinton wamekumbwa na kadhia ya safari wakielekea Korea Kusini kwa ajili ya kujiunga na timu ya taifa ya Brazil inayonolewa na kocha Carlo Ancelotti.

    GUIMARAES Pict
  6. Scholes: Kiwango cha Salah kimeporomoka, anacheza kawaida sana

    Gwiji wa Manchester United, Paul Scholes, ametoa maoni yake kuhusu nyota wa Liverpool, Mohamed Salah, akieleza licha ya kuwa mchezaji wa kiwango cha juu, wakati mwingine anacheza kawaida sana.

    SALAH Pict
  7. Ruud Gullit afichua sababu ya kutompigia kura Lamine Yamal

    Gwiji wa zamani wa AC Milan, Ruud Gullit ametaja sababu ya kutomchagua nyota wa Barcelona, Lamine Yamal, katika upigaji kura wa tuzo ya Kopa (mchezaji bora chipukizi duniani), licha ya kinda huyo...

    YAMAL Pict
  8. Henderson anajuta kuondoka Liverpool, afunguka yaliyomsibu Saudia

    Huenda kiungo Jordan Henderson akawa sehemu ya kikosi cha England kitakachoshiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 chini ya kocha Thomas Tuchel, kufuatia kiwango bora anachoendelea kukionyesha...

    HERNDERSON Pict
  9. Promota Frank Warren afichua Tyson Fury kurudi ulingoni

    Promota wa masumbwi, Frank Warren, amethibitisha kuwa bingwa wa zamani wa uzani wa juu, Tyson Fury, anapanga kurejea ulingoni 2026.

    TYSON Pict
  10. Conor Mcgregor atiwa hatiani, UFC yamfungia miezi 18

    Conor McGregor amekubali adhabu ya kufungiwa kwa miezi 18 kushiriki katika mashindano ya Shirikisho la Mchezo wa Ngumi na Mateke (UFC) baada ya kukiuka sheria ya kupambana na dawa za kulevya ya...

    MCGREGOR Pict
Previous

Page 362 of 856

Next