Chuma Daniel Levy kinavyoondoka Spurs BOSI kubwa Daniel Levy amelazimika kuachana na Tottenham Hotspur baada ya miaka 25 ya kuwa kiongozi kwenye kikosi hicho cha London.
Majeruhi Arsenal ni kizunguzungu MSIMU wa Ligi Kuu England umeanza vibaya kwa chama la Emirates, Arsenal. Si tu kwamba itakuwa na ratiba yenye mechi nyingi ngumu, bali pia kuongezeka kwa idadi kubwa ya wachezaji wao muhimu kuwa...
Lescott: Kwa Isak? Ekitike ni benchi tu BEKI wa zamani wa Manchester City na England, Joleon Lescott anaamini kocha wa Liverpool, Arne Slot atamweka benchi Hugo Ekitike ili kumwanzisha straika, Alexander Isak.
Noma sana! OPTA yaanika kumi bora EPL MASTAA 10 bora kwenye Ligi Kuu England msimu huu wamewekwa bayana kwa mujibu wa takwimu za Opta huku kiungo wa Chelsea, Moises Caicedo akiongoza kwa kufanya vizuri baada ya mechi tatu...
Mbeya City ile siku ndo leo JIJI la Mbeya leo litakuwa lipo bize kutokana na uwepo wa tamasha la kijanja la klabu ya Mbeya City iliyorejea katika Ligi Kuu Bara msimu huu, ikitoka Ligi ya Championship.
PRIME Walioingia kwenye mfumo wa Mfaransa Yanga watajwa! KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa mazoezi kambini Avic Town, Kigamboni chini ya kocha Romain Folz kikijiandaa na msimu mpya wa mashindano wa 2025-26, huku kocha huyo akiwa amelainishiwa...
Mitandao kuwainua Watanzania MITANDAO inatajwa kama njia ya kuwainua Watanzania hasa wanapoitumia kwa njia sahihi na wengi wao wameanza kunufaika nayo kutokana na kuuza bidhaa, kutangaza biashara, wanaonunua na kushiriki...
Kipa aanguka na kufa akiokoa penalti Kipa Antonio Edson dos Santos Sousa wa timu ya Sind Motos ameanguka na kufa muda mfupi baada ya kuokoa penalti katika tukio ambalo limewaacha mashabiki vinywa wazi.
Mabosi Crystal Palace wamuweka ‘mtu kati’ Guehi MWENYEKITI wa Crystal Palace, Steve Parish, amefanya mazungumzo ya ana kwa ana na beki wa kimataifa wa England Marc Guehi, 25, pamoja na familia yake baada ya kuzuia uhamisho wake wa kujiunga na...
Cunha awashusha presha Man United STAA mpya wa Manchester United, Matheus Cunha amesema atakuwa fiti na kurejea uwanjani hivi karibuni baada ya kushindwa kuendelea na mchezo kwenye ushindi dhidi ya Burnley katika mchakamchaka wa...