Sikia! Al Nassr yaendelea kukomaa dili la Casemiro KLABU ya Al Nassr ya Saudi Arabia inataka kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United, Casemiro, ambaye mkataba wake na Mashetani Wekundu unamalizika mwishoni mwa msimu huu.
Arsenal yafanya mabadiliko makubwa ARSENAL imetangaza mabadiliko makubwa ya uongozi wa klabu huku Tim Lewis, ambaye amekuwa katika klabu kwa muda mrefu, akiaga nafasi yake ya makamu mtendaji.
Jose Mourinho anaondoka muda wowote BAADA ya kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Benfica, taarifa za ndani zinaeleza kocha Jose Mourinho huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu kutokana na vipengele vilivyopo.
HERE WE GO… Mfahamu Fabrizo Romano "Here we go! Ni sentensi maarufu sana hususani kwa watu wanaofuatilia mpira wa miguu. Lakini huwa inaaminika sana ikiwa itatokea katika kinywa cha mtu mmoja tu, Fabrizo Romano.
Carrick apigiwa debe Man United MANCHESTER United wameshaambiwa wafanye uamuzi wenye busara na kumchukua Michael Carrick ikiwa itaachana na Ruben Amorim.
Shughuli imeisha, mwamba karudi nyumbani Kocha mkongwe Jose Mourinho amerudi tena nyumbani, baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Benfica, klabu kubwa ya Ureno ambayo aliwahi kuinoa kwa muda mfupi mwaka 2000.
Slot awavaa wachambuzi KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amelalamikia wachambuzi wanaozungumzia sana wachezaji wake wapya na gharama zilizotumika kuwasajili jambo ambalo haoni kama lina afya kwa ukuaji wao.
Henry: Gyokeres ana shida LEJENDI wa Arsenal, Thierry Henry ameonyesha kutokuridhishwa na namna straika wa timu hiyo, Viktor Gyokeres alivyocheza katika mechi dhidi ya Athletic Bilbao kutokana na kupoteza nafasi muhimu na...
Simba, Yanga tembeeni na hasira caf mashabiki SIMBA na Yanga zimeshamalizana katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa Jumanne, wiki hii ukithibitisha kwa mara nyingine ukubwa na heshima ya klabu hizo mbili kongwe Afrika.
Chelsea yajitosa katika vita ya Marc Guehi CHELSEA imejiunga na timu nyingine za England na Hispania kwa ajili ya kuiwania saini ya beki wa kati wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, ambaye mkataba wake na Crystal...