Ivory Coast inavyokabiliwa na mtihani kuvunja rekodi ZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika kwa mara ya kwanza katika mataifa matatu ya Marekani, Canada na Mexico, macho ya mashabiki wengi...
Harry Kane: Mabao 73 yataongea Ballon d’Or HARRY Kane, nyota wa kimataifa wa England na Bayern Munich amezungumza mambo kibao katika mahojiano yake ya hivi karibuni, lakini akigusia namna tuzo ya mchezaji bora Ulaya (Ballon d’or)...
PAGUMU! Umiliki mpira unavyopoteza dhamana timu kushinda EPL KUNA jambo umegundua? Timu zinazomiliki mpira kwa kiwango kidogo zimeanza kushinda mechi nyingi zaidi katika Ligi Kuu England (EPL) kuliko zile zinazomiliki kwa muda mrefu. Je, haya ni mabadiliko...
Hawa hapa miamba wa tuzo nane NBA 2026/27 LIGI ya Kikapu Marekani (NBA) msimu wa 2026/27 ilirejea usiku wa kuamkia jana, ambapo mchezo wa kwanza ulikuwa kati ya Detroit Pistons na Boston Celtics, lakini nyuma ya mtifuano ulioanza kuna...
Safari ya Como yenye picha kibao ndani yake UWANJA wa Stadio Giuseppe Sinigaglia, Italia ulikuwa ukiandaa mechi za Ligi Daraja la Nne (Serie D). Lakini, Jumatano wiki hii, uliandaa mchezo dhidi ya Manchester United katika Ligi ya Mabingwa...
Miamba iliyocheza mechi nyingi Kombe la Dunia WASHINGTON, MAREKANI: FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zimefshachezwa mechi tatu kwa kila timu hadi sasa. Lakini, nyuma ya fainali hizo kuna mastaa waliocheza mechi nyingi hadi sasa katika...
Kane afichua siri ya mabao 73 KADIRI umri unavyosonga mbele, Harry Kane amekuwa akibeba jukumu pana zaidi uwanjani, kiasi cha kushuka hadi karibu na boksi lake mwenyewe kutafuta mpira.
Giallossi kuvunja mwiko miaka 26 mbele ya Serie A? KWA ushindi wa michezo minne kati ya mitano ya Serie A, Roma wakiwa na jina la utani la Giallorossi wanaongoza katika hatua za mwanzo za msimu wakiwa na pointi 13 sawa na Inter Milan. Na...
Kanuni mpya EPL zaanza kupunguza upotezaji muda uwanjani Kanuni mpya zilianzishwa msimu huu kwa lengo la kuharakisha uanzishaji wa mchezo katika Ligi Kuu England. Je, zinafanya kazi? Baada ya siku tano za mechi za msimu wa 2026/27 ukweli bado uko...