Curry, Mavericks NBA kuna picha linasukwa? LIGI ya Kikapu Marekani (NBA), ina maajabu yake na imeshayaonyesha kwa miaka mingi sasa.
Naomi Osaka: Staa wa tenisi asiyekuwa na shughuli ndogo kazini NAOMI Osaka aliendelea na mtindo wake wa kuvutia katika mashindano ya tenisi ya Wimbledon, baada ya nyota huyo wa Japan kuingia uwanjani akiwa amevalia vazi la kimono la kuvutia katika mchezo...
Ugumu wa ratiba mechi tano za kwanza EPL MSIMU wa Ligi Kuu England (EPL) 2026/27 ulianza jana Ijumaa, lakini ni klabu zipi zina ratiba ngumu zaidi mwanzoni mwa msimu, na zipi zina ratiba rahisi zaidi?
Kumbe England viponde tu kwa vigogo TIMU ya taifa ya England 'Three Lions' imepokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Hispania 'La Roja', hali inayoibua tena maswali kuhusu uwezo wake wa kushinda dhidi ya timu kubwa duniani.
Utamu mwingi wa namba Ligi Kuu England TAYARI zimeshachezwa mechi tano katika msimu wa 2026/27 wa Ligi Kuu England na kwa maaba hiyo kuna taarifa nyingi zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzoni mwa msimu. Hivyo, utabiri wa ubingwa ukoje...
NJIA NGUMU: Yanga, Simba wakomaa Ligi ya Mabingwa Afrika KUFUZU hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ni miongoni mwa mitihani migumu zaidi katika soka la klabu Afrika, huku timu zikianza kampeni zao mwishoni mwa wiki hii zikilenga kufika hatua...
Mikasa ya Edmundo 'The Animal' NI katika sherehe ya siku ya kwanza ya kuzaliwa ya mwanawe, mmoja wa wanasoka maarufu zaidi duniani aliyezua gumzo kwa kumpa bia na whisky sokwe aitwaye Pedrinho, aliyekuwa amevalishwa tracksuit.
CHRISTOS; Fundi anayepeleka mabao, mipira ya kufa Arsenal HUENDA Arsenal ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 msimu uliopita, lakini bado iliingia katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi ikiwa na kazi kubwa ya...
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 32 Almasi alipowambia hivyo shemeji zake hao waliingia kwenye gari walilokwenda nalo na kuondoka bila kuaga.