Changamoto inayofuata ni ipi? Kamaru Usman kuhusu mustakabali wake, mazoezi, na motisha. Pambano la hivi karibuni la Kamaru Usman ndani ya Octagon liliashiria hatua mpya katika taaluma yake: mmoja wa wapiganaji wa uzani wa welter (welterweight) waliofanikiwa zaidi katika historia ya...
Klabu EPL zataka Manchester City iadhibiwe mapema WAKATI leo Oktoba 2 ikiwa ni siku ya mwisho waliopewa Manchester City kuwakilisha utetezi wao wapinzani wake klabu za Ligi Kuu England (EPL), zinataka klabu hiyo ipewe adhabu kabla ya kumalizika...
Lyon pungufu yakwea kileleni, Mbappe akiibeba Real Madrid LYON ikiwa na wachezaji 10 ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Nice baada ya kuanza kwa kuruhusu bao, na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1) juzi Jumapili, huku...
PSG vs Barca kikubwa zaidi Ligi ya Mabingwa Ulaya LIGI ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuendelea leo, huku mabao yakitarajiwa kufungwa wakati timu mbili kati ya zenye safu kali zaidi za ushambuliaji barani humo zitakapokutana jijini Paris. Huu ni...
Kuna mtu ananyolewa! Man United ugenini, Arsenal yaifuata Bayern Munich ACHANA na mechi tisa zilizopigwa jana, ikiwamo ya wababe Ulaya kwa sasa PSG dhidi ya Barcelona, leo kinapigwa tena ambapo michezo tisa inachezwa katika viwanja tofauti.
Diomande, Endrick kuibeba Real Madrid El Clasico REAL Madrid ina utajiri mkubwa wa washambuliaji, lakini namna bora ya kuwaunganisha ili kupata matokeo imekuwa mjadala wa muda mrefu. Sasa, adhabu ya kufungiwa mechi nne za La Liga kwa Vinicius...
Makocha wapya EPL: Nani atatoboa? Msimu mpya wa Ligi Kuu England umeanza ukiwa na sura mpya kwenye benchi za ufundi, huku klabu tisa zikiwa na makocha wapya na kila mmoja akiwa na malengo yake.
MIUJIZA! Ubingwa EPL unapopishana na Ngao ya Jamii NGAO ya Jamii ni mchezo wa jadi wa kufungua msimu wa soka duniani kote katika miaka ya karibuni. Lakini, unaweza kuwa kiashiria kizuri cha timu itakayoshinda taji la Ligi Kuu England (EPL)?
Namba zinavyowapa ubingwa wababe Ulaya 2026-27 NANI kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2026-27? Je, PSG itaweza kutwaa taji hilo mara tatu mfululizo? Je, Arsenal hatimaye inaweza kushinda taji ambalo limekuwa likiikwepa siku zote?