Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

10009 results for Mwandishi :

  1. Messi katika vita na rekodi ya Fontaine

    REKODI ya Just Fontaine ya kufunga mabao 13 katika Kombe la Dunia moja mwaka 1958 lililofanyika nchini Sweden ni ya kipekee. Lakini jambo la kushangaza zaidi ni kwamba hakufunga mabao hayo akiwa...

    MESSI Pict
  2. Lipston Mlagulwa: Niliota kucheza Taifa Stars... Leo siwezi hata kutembea

    SAA chache kabla ya maisha yake kubadilika, Lipston Mlagulwa alikuwa kama maelfu ya vijana wa Kitanzania waliokuwa na ndoto kubwa za kuvaa jezi ya Taifa Stars na baadaye kucheza soka la kulipwa...

    MLANGULWA Pict
  3. Vita usiku mdogo wa Ulaya inaanza

    LEO, Ligi ya Europa msimu 2026-27 inaanza ambapo timu mbalimbali zitakuwa viwanjani, huku ikitarajia kuendelea pia kesho.

    UEFA Pict
  4. Man United inavyopitia kwenye tanuru la moto

    Je, Manchester United ni mbaya kiasi kama awali Ligi Kuu England (EPL)? Manchester United ipo nafasi ya 13 katika Ligi Kuu England (EPL), ikiwa imekusanya pointi nne katika mechi nne za kwanza;

  5. Man United hali tete, Carrick atoa kauli nzito

    SIR Alex Ferguson alikuwa kocha wa St Mirren mara ya mwisho Manchester United ilipopoteza mchezo wa nyumbani Old Trafford baada ya kuongoza mabao 2-0, rekodi inayoonyesha ukubwa wa fedheha...

    CARRICK Pict
  6. Madogo janja 20 EPL walioanza mapema

    KUNA kizazi cha wachezaji wadogo wengi waliowahi kupita katika Ligi Kuu England (EPL) tangu 1992. Lakini, ni kina nani waliocheza wakiwa na umri mdogo zaidi katika historia? Hawa hapa ni 20...

  7. Infantino aomba radhi FIFA

    RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ameomba radhi kwa Baraza la FIFA kufuatia utata ulioibuka kuhusu mpango wake wa kuuza sehemu ya haki za kibiashara za taasisi...

    FIFA Pict
  8. Maswali muhimu baada ya kauli ya Martinez Man Utd

    Baada ya Manchester United kufungwa mabao 2-0 na Atletico Madrid, beki wa kati Lisandro Martinez alimshambulia mkurugenzi wa masuala ya soka wa timu hiyo, Jason Wilcox, pamoja na viongozi wengine...

    MARTINEZ Pict
  9. Kulikoni Mwanzo mbaya EPL Coventry, Spurs, Aston Villa?

    TOTTENHAM Hotspur bado hawajafunga bao, Coventry bado hawajafunga wala kupata pointi, huku Aston Villa wakianza msimu kwa kusuasua tena.

    KULIKONI Pict
  10. Siyo ndoto tena! Mashindano ya dunia yanarudi nyumbani

    KENYA imeandika historia mpya katika riadha baada ya kushinda zabuni ya kuandaa Mashindano ya Dunia ya Riadha mwaka 2029, huku Nairobi ikiwa jiji la kwanza barani Afrika kupewa heshima hiyo.

    RIADHA Pict
Previous

Page 923 of 1001

Next