Molinga afunguka kwanini ametua Namungo WAKATI klabu za Ligi Kuu Bara zikikamilisha usajili saa chache kabla ya dirisha la usajili kufungwa, Namungo FC ilimtambulisha mshambuliaji kutoka DR Congo, David Molinga katika ukurasa wa...
Simba, Yanga kukipiga Desemba 11 Ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 imetangazwa leo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu, Almas Kasongo na mechi ya watani wa jadi ikipigwa Desemba 11. Simba na Yanga zitafungua Ligi...
Rapcha aachia albamu ya kwanza Hatimaye msanii wa Hiphop anayewika nchini Tanzania, Cosmas Paul Mfoy maarufu ‘Rapcha’ ameachia album yake ya kwanza iliyopewa jina la ‘Wanangu 99’. Rapcha ameachia albam hiyo ndani ya kipindi...
Wanigeria wa Yanga wafundwa KABLA ya kuwavaa Yanga, Rivers United wamewekwa kitako juzi na kufundwa sheria zote za mpira wa miguu zilizorekebishwa. Habari zinasema uongozi ulifanya hivyo juzi ukihofia lolote linaweza...
Yanga kucheza bila mashabiki RASMI sasa mechi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Rivers United itapigwa bila mashabiki kwenye uwanja wa Mkapa, Dar. Kama ilivyokuwa kwa Taifa Stars dhidi ya Madagascar...
Ndemla amechukua uamuzi wa miaka miwili nyuma SAIDI Ndemla amekwenda kwa mkopo katika klabu ya Mtibwa Sugar akitokea Simba. Ni uamuzi ambao alipaswa kuufanya miaka miwili nyuma. Pengine sasa hivi angekuwa anasajiliwa na klabu moja kubwa...
Simba, Vihiga Queens ngoma ngumu Simba Queens ya Tanzania na Vihigwa Queens wameenda mapumziko bila kufungana katika Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa soka la wanawake kwa nchi za Afrika...
Wanigeria wa Yanga presha tupu, kutua leo WAPINZANI wa Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Rivers United kuanzia leo watatua nchini muda wowote kwa mchezo wao wa raundi ya wali, huku wakiifuatilia Yanga kimyakimya na kujua wanakuja...
Simba Queens waisaka fainali ya Cecafa WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa soka la Wanawake kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Women), Simba Queens leo inarudi tena uwanjani kuvaana na Vihiga Queens...
UCHAMBUZI: Hesabu ziwe asubuhi kufuzu kombe la Dunia katika mabara yote. Kwa upande wetu, Afrika tumeona mechi mbalimbali zikitawaliwa na matokeo ya sare kwa mechi za kwanza kama vile Afrika ya Kati waliotoka sare ya 1-1 dhidi ya Cape Verde...