Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Simba, Vihiga Queens ngoma ngumu

Simba Queens ya Tanzania na Vihigwa Queens wameenda mapumziko bila kufungana katika Mchezo wa kwanza wa  nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa soka la wanawake kwa nchi za Afrika Mashariki na kati (Cecafa women).

Mchezo ulikuwa wa kasi kwa pande zote mbili huku utawala katika mchezo ukiwa 50 kwa 50 kwa timu zote mbili
Ubora wa Simba ukiwa miguuni mwa Fatuma Mustapha beki wa kulia wa Simba ambae ameonekana bora kwenye kupandisha mashambulizi hata kwenye ukabaji huku ubora wa Vihiga ukiwa kwa beki wao wakati Fobby Owitti ambae amewadhibiti kwa safu ya ushambuliaji ya Simba kuleta hatari katika dakika 45 za kwanza.


IMEANDIKWA NA LILIAN MUKULU