Zacharia Hans Poppe aacha historia ya kusisimua Dar es Salaam. Wapenzi wengi wa mpira wa miguu, jumuiya ya wafanyabiashara na Watanzania kwa ujumla, usiku wa kuamkia jana walipatwa na huzuni kutokana na taarifa za kifo cha mfanyabiashara...
Mtanzania asaini minne kucheza Serbia Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa chini ya miaka 17 katika michuano ya ya Mataifa Afrika Morice Abraham amesaini mkataba wa miaka 4 na klabu ya FK Spartak Subotica inayoshiriki Ligi Kuu ya...
Walibya waichelewesha KMKM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeahirisha mchezo wa Kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya KMKM na Al-Itthad ya Libya uliokuwa uchezwe leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Amaan, mjini Unguja...
Msigwa, Zitto, Heche wamlilia Hans Poppe kwa amani Zakaria Hans Poppe. Godbless Lema aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini ameandika; "Hans Poppe alikuwa mtu aliyejiamini na alichukizwa sana na uonevu," Aliyekuwa Mbunge wa Iringa...
Azam: Poleni Simba Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC wametuma salamu za pole kwa uongozi wa Simba kufuatia kifo cha Zakaria Hans Poppe. Hans Poppe alifariki Dunia jana...
Bashungwa aipa pole Simba, familia ya Hans Poppe Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameguswa na kifo cha Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Zakaria Hans Poppe na kutoa pole kwa klabu hiyo. Bashungwa kupitia...
Manara: Hans Poppe ameacha pengo kubwa kwa mpira wetu na Simba Msemaji mpya wa Yanga, Haji Manara ametumia post tatu kwenye akaunti yake ya Instagram kumuelezea aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans Poppe. Hans Poppe alifariki dunia jana...
Mo Dewji: Hans Poppe ulikuwa wa kwanza na ulinyooka linapokuja suala la kuilinda Simba Kufuatia kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans Poppe, Mohammed Dewji ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo ameandika haya; "Moyo wangu una maumivu makali sana. Bado...
Barbara: Moyo wangu mzito sana Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amemlilia Zakaria Hans Poppe aliyefariki Dunia jana usiku katika hospitali ya Aga Khan alipokuwa anapatiwa matibabu. Kupitia Instagram Barbara ameonyesha...
Senzo: Hans Poppe amefanya nijue soka la Bongo Mtendaji Mkuu wa Mpito Yanga, Senzo Mazingiza kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika namna alivyomfahamu na alivyofanya kazi na aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans...