VPL ya msimu huu kazi ipo MSIMU mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League, umefunguliwa rasmi jana Jumatano kwa pambano la Ngao ya Jamii, kati ya Azam na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Steven Mapunda: Alia Tambwe kuwa Mfungaji Bora JINA lake halisi ni Steven Mapunda, kiungo, winga na mshambuliaji wa nafasi zote za mbele wa timu ya Majimaji ya Songea, Simba na Taifa Stars ingawa mashabiki wa soka wa miaka ya mwanzoni ya 1990...
Wanahabari waweke wazi wanashabikia timu gani BILA wanahabari ni wazi kwamba soka haingekuwa na umaarufu mkubwa wala kufuatiliwa kutoka kona zote duniani kama ilivyo sasa, kwani ni wao walio kati ya wachezaji kwa upande mmoja na hadhira...
UPANGAJI MATOKEO: Laana inayolitafuna soka KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi Tukuyu Stars ilivyofanyiwa hujuma mwaka 1984 ili isipande Daraja la Kwanza baada ya timu za Kurugenzi na Biashara kupanga matokeo na Kurugenzi kufungwa mabao...
SCUD WA YANGA: kiboko ya Simba sasa mfugaji wa kisasa_2 KATIKA toleo la Jumanne iliyopita, mshambuliaji wa zamani wa Yanga aliyekuwa kiboko ya Simba, Said Sued ‘Scud’ alizungumzia jinsi alivyoondoka katika klabu hiyo baada ya msimu mmoja wa mafanikio.
Mbelgiji Simba afunguka mazito WAPINZANI wa Simba katika Ligi Kuu Bara, iwe Yanga, Azam na wengine someni hapa; Na kama mtaamua kupuuza basi jiandaeni tu kuumia.
SEKILOJO : Nilishuhudia mchezaji mwenzangu akifia uwanjani-3 JANA katika mfululizo wa makala za nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Sekilojo Chambua, tuliona namna alivyofichua alivyopishana na mamilioni ya fedha kwa sababu ya utoto uliokuwa...
HAMZA KALALA-2 : Alilipwa Sh11,000 na maisha mengine yakafuata KATIKA toleo la jana Jumatatu makala haya yalizungumzia namna ambavyo Hamza Kalala alivyopigishwa msoto akivizia ajira ya muziki. Na hapa anaendelea kuzungumzia mambo mbalimbali yaliyojitokeza...
MZEE WA UPUPU: Tuanzishe Ligi mpya ya maendeleo KIUFUNDI mtalaa wa akademi ya soka kwa watoto wa miaka saba na mwisho wake ni miaka 17. Kuanzia miaka 18 mtoto anatakiwa kuingia kwenye soka la ushindani kama mchezaji wa kulipwa...anasaini...
Sababu wana Hip hop kuachana na ngumu nyeusi Kwa miaka mingi nchini wasanii wa Hip Hop au Rap walifanya harakati zao kupitia muziki huo. Wasanii kama Sugu, Profesa Jay, Wagosi wa Kaya, Kali P, Afande Sele, Izzo Bizness, Roma, Bonta, Nay wa...