Simba yanasa beki Zimbabwe KIKOSI cha Simba kilitua jioni ya jana nchini kutoka Zimbabwe, kilikoteza kwa bao 1-0 dhidi ya FC Platinum katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini hakijarudi patupu kwani mkononi wana...
Fifa yaikamua Yanga mamilioni WAKATI Simba ikisikilizia kesi yao ya kutakiwa kulipa Sh 294 milioni kwa kosa la kukiuka usajili wa winga wao wa zamani, Shiza Kichuya, Shirikisho la Soka duniani (Fifa) limeshusha rungu jingine...
Yanga unbeaten..... NANI wa kuizuilia Yanga? Ni kauli za kejeli zilizotolewa na baadhi ya mashabiki ya Yanga zikisindikizwa na mabango kadhaa ya kufagilia chama lao ambalo jana liliendelea kugawa dozi nyingine...
Azam wamshusha straika wa Yanga, Simba AZAM wanajisuka taratibu tena kimyakimya na sasa jamaa wamemshusha kimyakimya mshambuliaji mmoja ambaye aliwashinda Simba na Yanga. Azam jana mchana Desemba 22, 2020 walimshusha nchini...
Simba, Namungo washikilia ratiba ya Mapinduzi Cup WAWAKILISHI wa michuano ya kimataifa nchini, Simba na Namungo FC ndiyo wameshikilia upangaji wa ratiba ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi, ingawa tayari zimethibitisha ushiriki wao.
Morrison Simba kuchomokea hapa KANUNI za Ligi Kuu Bara msimu huu zinamuweka katika uwezekano mkubwa winga wa Simba, Bernard Morrison kukwepa adhabu kutokana na kosa la utovu wa nidhamu licha ya Shirikisho la Soka Tanzania...
Lwandamina aifumua upya Azam FC MASHABIKI wa Azam hawaielewi timu yao ikipata sare ya nne mfululizo na katika mechi sita za mwisho za Ligi Kuu Bara hawaujui ushindi wowote lakini kocha wao mpya George Lwandamina atafanya...
Ukweli Penalti ya Kagere WAKATI tukio la penati tata iliyoipa Simba ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa likizua mjadala, wadau wa soka wamesema kuwa penati hiyo ilitolewa kimakosa na mwamuzi...
Saido apangua kikosi yanga, Yacouba agoma YANGA imetua jijini Arusha jana mchana tayari kwa mchezo dhidi ya Dodoma FC kesho. Kwa mara ya kwanza mshambuliaji wao mpya Said Ntibazonkiza ‘Saido’ ataanza kukipiga kwenye Ligi Kuu...
Sasii avalishwa beji ya FIFA MWAMUZI aliyeipatia Simba penalti ya utata katika mechi yao na KMC uliomalizika kwa Simba kushinda bao 1-0, Hery Sasii ni miongoni mwa waamuzi 17 walioteuliwa kuvaa beji za Shirikisho la Soka la...