Platinum hofu tupu Simba inaihitaji ushindi wa tofauti ya zaidi ya bao moja dhidi ya Platnum, kesho, ili kutinga hatua ya makundi.
Straika Platinum aihofia Simba Licha ya timu yake kuwa na faida ya ushindi wa bao 1-0 ilioupata nyumbani, mshambuliaji wa FC Platinum, Silas Songani amesema kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kuitupa nje Simba kwenye Ligi ya...
Hersi amtetea mtoto wa Manara Msemaji wa Simba, Haji Manara ameonyesha kukerwa na mtoto wake wa kiume Hassan kurekodi video akitamba na jezi ya klabu ya Yanga anayoishabikia.
Januari ya Simba, Yanga TAKWIMU za matokeo ya mechi zilizopita za Ligi Kuu Bara zilizochezwa mechi Januari zinailazimisha Yanga kufanya kazi ya ziada ili iweze kuwapiku watani wao Simba na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...
Baba ampa Saido mbinu mpya BABA mzazi wa staa wa Yanga, Saido Ntibazonkiza amepagawa na kiwango cha mwanaye anachokionyesha ndani ya klabu hiyo na akamuongezea mbinu. Mzazi ambaye ni mchezaji wa zamani wa Burundi pia ana...
Arnelisa wa Ben Pol hatari! kifamilia zaidi kwahiyo hawakuona sababu za kuanika kila wazi. “Watu wetu wa karibu walikuwa wanafahamu. Na hata baada ya kanisani tulijumuika nao kwa ajili ya chakula na vitu vingine. Sisi...
Simba yakomaa na Mkenya MWANASPOTI linajua kwamba Kocha Mkenya, Abdul Idd Salim ana uwezekano mkubwa wa kutua Simba ingawa wanafanya siri kubwa. Kocha huyo ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kuwanoa magolikipa Aishi...
Simba yaizidi akili Platinum PLATINUM FC wanatua leo Dar es Salaam. Lakini wanalia kwamba Simba inawafanya kitu ambacho kinawachanganya akili wasijue nini cha kufanya. Wanadai kwamba wamenasa habari za uhakika kuwa Simba...
Bao 5 zakatisha sikukuu FC Platinum KISHINDO cha mabao 5-0 Simba ilichoipa Majimaji kwenye Kombe la Shirikisho (FA) kimefika Zimbabwe kwa FC Platinum.
Jeshi la Kaze balaa jipya KIKOSI kazi cha Kaze kina jambo lake msimu huu. Na katika kuthibitisha jeshi la Yanga linataka kurejesha utawala wa soka nchini mikononi mwa Wanajangwani, nyota wake wamebadilisha upepo wa...