Tuisila kumvuta Mundele Yanga YANGA sasa inazungumza na mshambuliaji wa AS Vita, Makusu Mundele ambaye nusu msimu uliopita aliichezea Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Mundele bado ni mchezaji halali wa Vita akiwa na mkataba...
Mugalu anawatamani Yanga STRAIKA wa Simba, Chris Mugalu amerejea rasmi mazoezini juzi Jumatatu jioni na kumwambia Mwandishi wa Mwanaspoti, Thobias Sebastian kwamba ; “Naitamani sana hiyo mechi ya Yanga.” Mugalu...
Kisa Simba, Nabi atimua Haruna, Lamine . MZEE MPILI AUNGURUMA Mmoja wa Wanachama mahiri wa Yanga kutoka Ikwiriri, Mzee Mpili amekiri kuyafurahia yote yaliyotokana na mkutano mkuu wa wikiendi iliyopita huku akisisitiza kuna mambo makubwa...
Siri ya bao la Miquissone hii hapa BEKI wa Simba, Erasto Nyoni ameweka wazi siri ya bao lililofungwa na Luis Miquissone kwenye mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Azam FC akifunga...
Balama: Mukoko anajua sana BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu, kiungo wa Yanga, Balama Mapinduzi amemtaja Mukoko Tonombe kumvutia ndani ya kikosi hicho kwa namna anavyowajibika kusaidiana na mabeki kuhakikisha...
Pazi: Simba ikiamua lake hakuna wakuizuia 'KWA Simba hii hakuna wa kuizuia kufanya jambo lake', hiyo ni kauli ya kocha wa makipa wa zamani wa timu hiyo, Idd Pazi kwamba kupata ushindi sio ishu na nijambo ambalo mashabiki wao...
Bao la Yacouba lawajaza YANGA imerejea jijini Dar es Salaam wakitokea Tabora walipokata tiketi ya kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC), lakini nyuma yake wakachukua tena mamilioni ya kibabe kutoka kwa...
Wydad, Kaizer hapatoshi. WAKATI wakibakiwa na mechi moja tu kutinga fainali baada ya ushindi wa kwanza dhidi ya Wydad, Kaizer Chiefs watakuwa na shughuli pevu ya kulinda ushindi wao wa kwanza baada ya kushinda goli 1-0...
Al Ahly, Esperance ni mechi ya kisasi MABINGWA watetezi wa Klabu bingwa Afrika Al Ahly wanashuka dimbani kesho Juni 26 dhidi ya Esperance ya Tunisia katika mchezo wa pili wa marejeo kwenye uwanja wa Al Salam, mjini Cairo baada ya...
Kelvin John atua Genk MSHAMBULIAJI chipukizi wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, amejiunga rasmi na klabu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji ambayo nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta, alikuwa akiichezea...