Waziri Bashungwa atoa pole kwa Polisi Tanzania Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ametoa pole kwa kikosi cha timu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara kilichopata ajali ya gari jana Ijumaa...
MZEE WA UPUPU: Kwa kauli hizi za Wanasiasa ipo kazi NILIWAHI kuandika hapa kwenye gazeti la Juni 2020 kwenye makala iliyokuwa na kichwa cha habari cha HEKIMA YA KARIA NA KIBRI CHA NDOLANGA. Nilikuwa najadili matukio ya wanasiasa wa Tanzania...
Kiba asepa na kijiji huko MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya AliKiba ameibua shangwe na nderemo katika kilele cha kilele Cha onyesho lililofahamika kama Clouds mchongo lililofanyika kwenye Uwanja wa michezo uliopo Buza kwa...
Sababu za Chikwende kurejeshwa Zimbabwe zatajwa BENCHI la ufundi la Simba limemrudisha Zimbabwe kiungo mshambiliaji wa timu hiyo, Perfect Chikwende kwa ajili kushiriki michuano ya COSAFA inayotarajiwa kuanza Julai 6 mpaka Julai 18 mwaka...
Yanga wanatoboa, hawataboi? NI miujiza pekee itakayoweza kuifanya Yanga leo itabasamu. Ndivyo ukweli ulivyo, Julai sio mwezi mzuri hata kidogo kwa vijana wa Jangwani kila wanapokutana na watani wao wa jadi, Simba. Wapo...
HATARI! Cheki derby za kibabe Afrika MWISHO wa ubishi. Kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, jijini Dar es Salaam kuna shughuli pevu itafanyika wakati vikosi vya Simba na Yanga vitakapovaana katika mechi yao ya...
Barbara aapa lazima kieleweke kwa Mkapa OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema; “Nina imani na maandalizi ambayo yamefanyika ndani ya timu tunachosubiri ni muda na kuona vijana wetu wanapambana kwa kiasi gani ili...
Fri-kiki za Morrison balaa UNALIKUMBUKA lile bao la frii-kiki ambalo kipa, Aishi Manula alitunguliwa na winga Benard Morisson wakati huo akicheza katika kikosi cha Yanga kwenye mechi ya dabi duru la pili msimu iliyopigwa...
Yanga wawekewa Mzigo wa maana kuwamaliza Simba JANA jioni wakati nyota wa Yanga na makocha wao wakiongozwa na Nasreddine Nabi wakiendelea kupiga tizi la mwisho kabla ya kuvaana na Simba, kambi yao ilipata ugeni uliokuja na neema iliyowajaza...
Maandalizi yaiva Simba, Yanga mchezo huo hauondolewi mkoani kwetu" alisema Akizungumza kuhusu suala nzima la ulinzi wakati wa mchezo huo, Gindi alisema kuwa walikuwa na kikao na Serikali ya Mkoa wa Kigoma kuhusu kujadili...