Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kiba asepa na kijiji huko

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya AliKiba ameibua shangwe na nderemo katika kilele cha kilele Cha onyesho lililofahamika kama Clouds  mchongo lililofanyika kwenye Uwanja wa michezo uliopo Buza kwa Mama Kibonge.

Kiba alipanda jukwaani mchana ambapo alipanda na kundi lake akiwemo mdogo wake Abdul Kiba  na kuimba baadhi ya  nyimbo zake ikiwemo wimbo wake mpya unaofahamika kwa jina la 'Salute.

Wakongwe wengine ni Chegge Chigunda ambaye amekonga nyoyo za wakazi wa Buza Kwa mama Kibonge ikiwa ni katika kilele Cha Vibonzo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Business.

Chegge ambaye alipanda Jukwaani akimfuatia Muumin Mwinjuma ambaye aliimba wimbo wake 'Kwa Mpalange' ambao ndiyo anatamba nao hivi sasa.

Kilele cha siku hiyo kimeandaliwa na  Kipindi Cha Leo Tena  kinachorushwa na kituo Cha Clouds.

Aidha burudani zingine zilizopatikana  ni kinyang'anyiro chakumpata  Miss Buza ambapo mrembo alipatiakana  kwa jina la Amina Abdalah.