SportPesa yaijaza tena Simba KAMPUNI ya SportPesa ambao ni wadhamini wakuu wa Simba, leo wanatarajia kuijaza noti klabu hiyo kwa kuipa bonasi ya Sh 100 milioni kwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, mkwanja watakaokabidhiwa...
Mtibwa yalia kuhujumiwa Samora na badala yake wawahi Dar kuvaana na JKT Uwanja wa Azam Complex. Badru alisema awali waliambiwa mchezo huo utapigwa Iringa kabla ya kubadilishiwa na kudai wamesikitishwa na badiliko hilo la...
CAF: Simba, Yanga tunaamsha Septemba 11 SIMBA na Yanga ambazo tayari zimefuzu kwa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, zina muda usiozidi wiki tisa kuanzia sasa kabla ya kushuka uwanjani kwenye mechi zao za kwanza. Kwa mujibu wa...
Mgunda: Wagosi Mtuombee kuhitimisha msimu huu. "Ushindi kwenye mechi yetu iliyopita umeongeza ari kwa wachezaji wangu kuelekea mechi yetu ya leo na Kagera Sugar lakini nichukue nafasi hii kuwaomba wadau wa Mpira...
Djuma anakuja na mashine Yanga, Makambo mambo safi BEKI matata wa DR Congo, Djuma Shabani amemshawishi straika, Fiston Mayele kukubali kutua Jangwani lakini kumbe hata dili la Heritier Makambo ni suala la muda tu.
Vigogo CAF kukutana leo Morocco kujadili CAF Super League Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) inatarajia kukutana leo huko Rabat, Morocco kuanzia saa 1 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki. Kikao hicho cha Kamati ya Utendaji...
Rais FIFA aipongeza Simba Rais wa Shirikisho la Kimatiafa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza timu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/2021. Katika barua...
Biashara United yatinga Kimataifa HABARI ndiyo hiyo kwa timu ya Biashara United ya mkoani Mara kujikatia tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na maafande wa...
Messi kujifunga Barcelona Baada ya staa wa Barcelona, Lionel Messi kufikia makubaliano ya awali ya kubaki kwenye klabu hiyo mpaka Juni 2023, sasa staa huyo anatarajiwa kusaini mkaba mpya wa miaka mitano.
Nini kinafuata kwa Gerald Mathias Mdamu? MSHAMBULIAJI mahiri wa klabu ya Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu amevunjika miguu yake miwili baada ya kupata ajali ya gari wakati timu hiyo ikitoka mazoezini mapema wiki iliyopita.