Waafrika wanavyoitolea macho Ballon d'Or 2026 IMEPITA zaidi ya miaka 30 tangu George Weah awe Mwafrika wa kwanza kushinda Ballon d’Or.
Rais wa soka Asia aunga mkono ratiba ya Kombe la Dunia 2034 Kwa kuwa fainali za Kombe la Dunia zinatarajiwa kurejea barani Asia miaka 12 baada ya kufanyika Qatar, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Asia (AFC), Sheikh Salman bin Ebrahim Al Khalifa...
Nuria Cunillera naye anastahili yote mazuri kama Xavi WIKI iliyopita mke wa lejendi wa FC Barcelona, Xavi Hernandez, 45, Nuria Cunillera alisherehekea kutimiza umri wa miaka 40, ambapo mumewe alitoa neno ambalo limebeba msingi wa makala haya kwa leo.
Barca mambo magumu dili la Marcus Rashford BARCELONA italazimika kuanza upya mazungumzo na Manchester United ikiwa inahitaji kumsainisha mkataba wa moja kwa moja Marcus Rashford, baada ya ripoti za ndani kufichua kuwa kipengele...
Vita ya PFA yazidi kupamba moto EPL 2025/26 WAKATI ukitafakari ulivyomalizika mzunguko wa 32 wa Ligi Kuu England, jana kwa mechi moja kati ya Manchester United dhidi ya Leeds United iliyopigwa Old Trafford, wachambuzi wa soka nchini humo...
Sauti zisizoisha ladha Krismasi KRISMASI ni kipindi kinachochangamsha mioyo kwa furaha, upendo na matumaini kwa waumini wa dini ya Kikristo nchini na duniani kwa ujumla.
Diddy kumbe alimkaanga Biggie kwa mafuta yake mwenyewe JUMANNE ya Desemba 2 mwaka huu, mtandao wa Netflix uliachia makala ya kushtua kuhusu maisha ya gizani ya nyota aliyeko mikononi mwa sheria, Sean Combs au kwa jina la kisanii, P. Diddy.
Dabi Madrid ilivyoisha na utamu, machungu SHANGWE zilirejea kwa Vinicius Junior katika Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya mshambuliaji huyo wa Real Madrid kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Atletico Madrid, juzi...
Barcelona, Real Madrid bado zinamhitaji Rodri MANCHESTER City inakabiliwa na presha kubwa ya kumbakisha kiungo wake wa kimataifa wa Hispania, Rodri, 29, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi, baada ya vigogo wa La Liga, Real Madrid...