Khadija Kopa afunguka kuhusishwa kifo cha Leila Khatibu, mwanaye Omar
Kopa alishirikishwa na msanii wa Bongo Fleva, Isihaka Nassor ‘Aslay’, katika wimbo wake wa “Usiitie doa”.
Pia, amepata kushirikiana na waimbaji wengine wa kike kama vile Mwanamtama Amir, Leila...