Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9083 results for Mwandishi :

  1. Messi, Ronaldo wameshindika

    USHINDANI wa muda mrefu kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo umeendelea kuandika historia mpya katika Kombe la Dunia 2026, huku nyota hao wawili wakiendelea kupigania rekodi ya kuwa mfungaji...

    MAGWIJI Pict
  2. Rungu la Uefa lazipitia tatu EPL

    RUNGU la Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) limezishukia timu tatu za Ligi Kuu England (EPL), likizituhumu kukiuka kanuni za matumizi ya kifedha katika masuala mbalimbali ya uendeshaji.

  3. Penalti na mtihani mchezaji anayeingia dakika za mwisho

    WANASEMA ni presha, lakini kuna wanaoitaja kuwa ni kama ‘pressure cooker’. Yaani unatakiwa kuingia ili ukabadili matokeo kwa kupiga penalti tena katika dakika zile za lalasalama na ni hapo ndipo...

  4. Utamu wa EPL unaanza mapema

    WAKATI Kombe la Dunia 2026, likielekea mwishoni sasa katika hatua ya nusu fainali, klabu nyingi za Ligi Kuu England tayari zimeanza maandalizi ya msimu mpya kupitia mazoezi na mechi za kirafiki.

    UTAMU Pict
  5. PRIME Simu ya kocha mpya yatibua dili la ‘mamilioni’ Dar

    Soma zaidi hapa

    KIUNGO Pict
  6. Serikali yaitaka timu ya Jumuia Madola kurudi na medali

    Serikali imewataka wanamichezo wa Tanzania wanaokwenda kushiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2026 mjini Glasgow, Scotland, kuhakikisha wanarejea nyumbani wakiwa na medali huku taifa...

    MADOLA Pict
  7. Barcola akubali kutua Liverpool

    MSHAMBULIAJI wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa, Bradley Barcola (23), ameripotiwa kukubali kwa maneno kujiunga na Liverpool. Hata hivyo, uhamisho huo bado haujathibitishwa...

  8. Man United yamgeukia Tchouameni

    MANCHESTER United inaweza kupata nafasi kubwa ya kumsajili kiungo Aurelien Tchouameni ikiwa Real Madrid itafanikiwa kukamilisha usajili wa Rodri kutoka Manchester City.

    FUNUNU Pict
  9. Shoo Madonna, Shakira, wawasha moto, Gaucho, Ronaldo bonge ‘Suprise’

    Tamasha la mapumziko la fainali ya Kombe la Dunia 2026 limeandika historia baada ya kuwakutanisha mastaa wakubwa wa muziki duniani akiwemo Madonna, Shakira, Justin Bieber na BTS, huku magwiji wa...

    SHOO Pict
  10. Mixx, Electronics Hub wakusanya maelfu fainali ya Kombe la Dunia

    MEYA wa Manispaa ya Mjini, Ibrahim Mohamed (Raza Lee), amemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za kuandaa...

    YAS Pict
Previous

Page 753 of 909

Next