Utamu wa EPL unaanza mapema
Muktasari:
- Msimu mpya wa ligi hiyo unatarajiwa kuanza rasmi Agosti 21, lakini baadhi ya timu zitakuwa zimecheza mechi kadhaa za majaribio kabla hata ya fainali ya Kombe la Dunia.
LONDON, ENGLAND: WAKATI Kombe la Dunia 2026, likielekea mwishoni sasa katika hatua ya nusu fainali, klabu nyingi za Ligi Kuu England tayari zimeanza maandalizi ya msimu mpya kupitia mazoezi na mechi za kirafiki.
Msimu mpya wa ligi hiyo unatarajiwa kuanza rasmi Agosti 21, lakini baadhi ya timu zitakuwa zimecheza mechi kadhaa za majaribio kabla hata ya fainali ya Kombe la Dunia.
Mechi hizo zitafanyika katika mabara mbalimbali, ikiwemo Asia, Marekani na Ulaya.
ARSENAL
Agosti 1: Girona vs Arsenal
Agosti 5: Arsenal vs Real Betis (Dublin)
Agosti 9: Arsenal vs Borussia Dortmund (Emirates)
Agosti 16: Ngao ya Jamii:– Arsenal vs Manchester City
MANCHESTER UNITED
Julai 18: Manchester United vs Wrexham
Julai 24: Manchester United vs Rosenborg
Agosti 1: Manchester United vs Atletico Madrid
Agosti 8: Manchester United vs Paris Saint-Germain
Agosti 12: Manchester United vs Leeds United
Agosti 15: Manchester United vs AC Milan
MANCHESTER CITY
Agosti 1: Manchester City vs Inter Milan
Agosti 5: Manchester City vs K-League All-Stars
Agosti 9: Manchester City vs Atletico Madrid
Agosti 16: Ngao ya Jamii – Manchester City vs Arsenal
LIVERPOOL
Julai 25: Liverpool vs Sunderland
Julai 29: Liverpool vs Wrexham
Agosti 2: Liverpool vs Leeds United
Agosti 9: Liverpool vs Monaco
Agosti 16: Liverpool vs Como
CHELSEA
Julai 28: Western Sydney Wanderers vs Chelsea
Agosti 1: Chelsea vs Tottenham
Agosti 5: Chelsea vs Juventus
Agosti 8: Chelsea vs AC Milan
Agosti 11: Johor Darul Ta'zim vs Chelsea
TOTTENHAM HOTSPUR
Julai 22: Tottenham vs MK Dons
Julai 26: Auckland FC vs Tottenham
Julai 29: Sydney FC vs Tottenham
Agosti 1: Tottenham vs Chelsea
Agosti 8: Tottenham vs Getafe
Agosti 15: Tottenham vs Hoffenheim
Agosti 16: Tottenham vs Hoffenheim
NEWCASTLE UNITED
Julai 18: Newcastle vs Darlington
Julai 25: Gateshead vs Newcastle
Julai 29: Bristol City vs Newcastle
Agosti 8: Valencia vs Newcastle
Agosti 12: Everton vs Newcastle
Agosti 15: Newcastle vs Bayer Leverkusen
Agosti 16: Newcastle vs Strasbourg
LEEDS UNITED
Julai 25: Leeds United vs Wrexham
Julai 30: Leeds United vs Sunderland
Agosti 2: Leeds United vs Liverpool
Agosti 8: Leeds United vs RB Leipzig
Agosti 12: Leeds United vs Manchester United
ASTON VILLA
Julai 21: Walsall vs Aston Villa
Julai 28: Aston Villa vs Real Sociedad
Agosti 1: Indonesia All-Stars vs Aston Villa
Agosti 4: BG Pathum United vs Aston Villa
Agosti 7: Aston Villa vs Bayern Munich
Agosti 15: Borussia Monchengladbach vs Aston Villa
EVERTON
Julai 18: Dundee vs Everton
Julai 25: Bolton vs Everton
Julai 28: Stoke City vs Everton
Agosti 1: Hamburg vs Everton
Agosti 8: Stuttgart vs Everton
Agosti 12: Everton vs Newcastle
BRIGHTON
Julai 25: Brighton vs Annecy
Agosti 1: Brighton vs Strasbourg
Agosti 8: Brighton vs Roma
Agosti 15: Brighton vs Bologna
BRENTFORD
Agosti 8: Rennes vs Brentford
Agosti 15: Brentford vs Eintracht Frankfurt
CRYSTAL PALACE
Julai 28: Crystal Palace vs Lens
Julai 28: Crystal Palace vs FC Famalicao
NOTTINGHAM FOREST
Julai 18: Notts County vs Nottingham Forest
Julai 22: Blackburn Rovers vs Nottingham Forest
Julai 26: Nottingham Forest vs Vitoria
Julai 31: Nottingham Forest vs Sporting
Agosti 12: Nottingham Forest vs Bayer Leverkusen
Agosti 16: Nottingham Forest vs Brest
SUNDERLAND
Julai 18: York City vs Sunderland
Julai 25: Sunderland vs Liverpool
Julai 30: Sunderland vs Leeds United
Agosti 2: Sunderland vs Wrexham
Agosti 8: Sunderland vs Lens (mechi mbili)
Agosti 15: Sunderland vs Rennes
IPSWICH TOWN
Julai 29: Ipswich vs Osasuna
Agosti 1: Oxford United vs Ipswich
Agosti 1: Wycombe vs Ipswich
Agosti 4: Ipswich vs Le Havre
Agosti 8: Ipswich vs Rayo Vallecano
Agosti 15: Union Berlin vs Ipswich
AFC BOURNEMOUTH
Julai 24: St. Pauli vs Bournemouth
Julai 30: Augsburg vs Bournemouth
Agosti 4: Bournemouth vs Genoa
Agosti 8: Real Betis vs Bournemouth
COVENTRY CITY
Julai 18: Northampton vs Coventry
Agosti 8: Coventry vs Espanyol
FULHAM
Bado haijatangaza ratiba ya mechi zake za maandalizi.
HULL CITY
Bado haijatangaza ratiba ya mechi zake za maandalizi.
Vigogo kadhaa wanatarajiwa kukutana katika mechi za kuvutia za maandalizi, zikiwemo Chelsea dhidi ya Tottenham, Manchester City dhidi ya Inter Milan, Arsenal dhidi ya Borussia Dortmund, Manchester United dhidi ya PSG, Liverpool dhidi ya Leeds United, pamoja na Aston Villa dhidi ya Bayern Munich, huku mashabiki wakisubiri kuona timu zao zikiwa tayari kwa msimu mpya wa 2026/27.