Kagame Cup 2025 vita nyingine ya kombe inayoanza Dar MSIMU wa 47 ya michuano ya Kombe la Kagame unaanza rasmi leo Jumanne ikihusisha klabu 12, zitakazoumana kwenye viwanja viwili vya Meja Jenerali Isamhuyo na KMC Complex vilivyopo jijini Dar es...
TFF mambo yote yapo Tanga LICHA ya ukweli usiku wa leo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanjani kukamilisha ratiba ya mechi za Kundi B ya michuano ya CHAN 2024, lakini macho na masikio ya wadau wa soka...
Mastaa hawa wametisha kwa mabao karne ya 21 LINAPOTAJWA jina la Erling Haaland, kinachokujua akilini kwa haraka ni mabao.
NIONAVYO: World Cup linaanza kuwa Kombe la Dunia WATU husema mambo yanav yobadilika ndivyo yanavyorudi yalipokuwa.Timu inaifunga Argentina na kutangaza siku ya mapumziko nchi nzima.Tukio la kwanza lilikuwa ni ushindi wa mabao 4-2 wa Uruguay...
Man United inavyopenda kusajili mastraika ‘age go’ MANCHESTER United inahusishwa na mpango wa kumsajili straika wa Aston Villa, Ollie Watkins, ikidaiwa kutaka kuendelea rekodi yake ya kusajili washambuliaji ‘age go’.
PRIME Anga za kimataifa... Mastaa wazawa wanakwamia hapa! MSIMU wa Ligi Kuu Bara umemalizika kwa kushuhudia Yanga ikitetea taji msimu wa nne mfululuizo, huku Simba, Azam na Singida Black Stars zikiifuata nyuma na kukata tiketi za michuano ya kimataifa...
Kwa Arsenal hii mtateswa juu, mtateswa chini ARSENAL inafanya usajili, ambao utawapasua vichwa wapinzani wao, kwenye ishu ya kupitisha mipira, wapite wapi - chini tatizo na juu ndiyo usiseme.
Arsenal, Spurs zazidi kujisogeza kwa Eze ARSENAL inatarajiwa kuwasiliana na Crystal Palace kujadili iwapo inaweza kukubali ofa yao ya kumsajili winga wa timu hiyo na England, Eberechi Eze, kwa ofa ya chini ya Pauni 68 milioni dirisha...
Konate awagomea Waarabu, Madrid yakoleza moto BEKI wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Ibrahima Konate, 26, amekataa ofa nono kutoka timu ya Saudi Pro League jambo linalowapa Real Madrid nguvu na mzuka mkubwa katika kufukuzia...
PRIME Yanga yatumia mbinu za kimafia, yamshusha Conte ILE vita ya kuwania kiungo Moussa Bala Conte kutoka Guinea, imeisha baada ya Yanga kumtambulisha rasmi leo mchana ikiizidi kete Simba iliyoanza mapema kumtamani mchezaji huyo. Iko hivi.