Rashford, Barcelona sasa mambo freshi! BARCELONA imefikia makubaliano ya kumsainisha mkataba wa moja kwa moja mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, 28, anayecheza katika kikosi chao kwa mkopo...
Mayele, Hakimi kuna kitu, mchongo upo hivi KESHO Jumatano, kuna hafla ya utoaji Tuzo za CAF 2025, itakayofanyika katika Chuo Kikuu cha Mohammed VI Polytechnic (UM6P) kilichopo Rabat nchini Morocco.
Mambo matatu mkutano wa Kipchoge na Obama Marekani Bingwa mara mbili wa Olimpiki katika mbio za marathon, Eliud Kipchoge, baada ya kumaliza kushiriki New York Marathon, Ijumaa Novemba 7, 2025 alikutana na Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama,...
Usicheke! Hata Man Utd inaweza kubeba EPL msimu huu NENO la onyo. Kinachosemwa ni kwamba kwenye soka namba zinaweza kutumika kutoa taswira ya kitu kinachoweza kwenda kutokea au ambacho hakiwezi kwenda kutokea.
Kanuni ya Embiid kutibua ndoto ya Doncic kuwa MVP? LUKA Doncic ameuanza msimu mpya wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) kwa kiwango bora akipambana kuonyesha kiwango ambacho kimeanza kumtofautisha na wachezaji wengi katika ligi.
Messi alivyofunika rekodi ya Pele mipira ya free-kick NAHODHA wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi anaendelea kuvunja rekodi mbalimbali na tangu alipoanza soka la ushindani zaidi ya miaka 20 iliyopita tayari keshazivunja zaidi ya 30 za nje na...
Gordon aziingiza vitani Arsenal, Liverpool ARSENAL ipo tayari kuingia vitani na Liverpool ili kumsajili mshambuliaji wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Anthony Gordon, 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Nottingham Forest yasikilizia ofa za Anderson mezani NOTTINGHAM Forest bado haijapokea ofa rasmi kutoka kwa timu zinazomhitaji kiungo wao, Elliot Anderson, 23, lakini tayari imeanza kujiandaa kisaikolojia kwa uwezekano wa kupokea kubwa kabla ya...
Chelsea kiroho safi kwa Enzo Fernandez CHELSEA inaweza kumuweka sokoni kiungo wake wa kimataifa wa Argentina, Enzo Fernandez, 25, katika dirisha la majira ya kiangazi ikiwa itashindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu ujao.
Wachezaji 5 hatari wa NBA ambao hawakuwahi kubeba ubingwa KATIKA historia ya NBA, kuna wachezaji wengi waliokuwa na vipaji vikubwa lakini hawakuwahi kushinda ubingwa.