Takwimu zilivyo kabla ya robo fainali AFCON 2025 kupigwa MICHUANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya robo fainali ya Kombe la Afrika 2025, ambapo kuanzia kesho Ijumaa zitaanza kupigwa mechi mbili na Jumamosi zitapigwa tena mbili.
Man United, Bruno kukaa mezani MABOSI wa Manchester United wanatarajiwa kufanya kikao na nahodha wa timu hiyo, Bruno Fernandes, 31, ili kumweleza bado wanamhitaji aendelee kusalia Old Trafford kwa angalau msimu mmoja zaidi.
Bruno aisubirisha Man United KIUNGO na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, 31, amepanga kusubiri hadi mwisho wa msimu huu kabla ya kufanya uamuzi juu ya mustakabali wake ikiwa ataendelea kuwepo katika kikosi hicho...
Trent Alexander-Arnold aingia anga za Man City MANCHESTER City inaendelea kumfuatilia kwa karibu beki wa kulia wa Real Madrid na timu ya taifa ya England, Trent Alexander-Arnold, 27.
Chelsea kuvunja benki kwa Jude Bellingham CHELSEA inaripotiwa kupanga kutumia kiasi kikubwa cha hadi Euro 150 milioni kwa lengo la kumsajili kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya England, Jude Bellingham, mwenye umri wa miaka 22.
Real Madrid yampigia hesabu Enzo Fernandez CHELSEA imeiambia Real Madrid ipo tayari kumuuza kiungo wao wa kimataifa wa Argentina, Enzo Fernandez mwenye umri wa miaka 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Jean-Philippe Mateta akaribia kumalizana na Juventus JUVENTUS wameongeza kasi katika harakati za kumsajili mshambuliaji wa Crystal Palace na Ufaransa, Jean-Philippe Mateta, 28, baada ya kufanya mazungumzo rasmi na mawakala wake Ijumaa ya wiki...
Liverpool yapanga kumsajili Greenwood dirisha hili dogo LIVERPOOL inafikiria kuwasilisha ofa kwa ajili ya kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester United, Mason Greenwood, mwenye umri wa miaka 24.
Kila mbabe ana ubabe wake EPL LIGI Kuu England imefika patamu. Arsenal imeshindwa kutanua pengo la pointi kufikia nane kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kubanwa nyumbani ikishindwa kufungana na Liverpool uwanjani...
Rice apiga mbili, Arsenal ikijikita kileleni LONDON, ENGLAND: DECLAN Rice alifunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza baada ya kupona jeraha, akiiongoza Arsenal kupata ushindi muhimu ugenini dhidi ya Bournemouth wakishinda 3-2. Beki...