Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kila mbabe ana ubabe wake EPL

MBABE Pict

Muktasari:

  • Na sasa, kikosi hicho kinachonolewa na Mhispaniola, Mikel Arteta kinaongoza kwa tofauti ya pointi sita dhidi ya Manchester City inayonolewa na Mhispaniola pia, Pep Guardiola na Aston Villa inayonolewa na Mhispaniola mwingine, Unai Emery.

LONDON, ENGLAND: LIGI Kuu England imefika patamu. Arsenal imeshindwa kutanua pengo la pointi kufikia nane kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kubanwa nyumbani ikishindwa kufungana na Liverpool uwanjani Emirates usiku wa Alhamisi.

Na sasa, kikosi hicho kinachonolewa na Mhispaniola, Mikel Arteta kinaongoza kwa tofauti ya pointi sita dhidi ya Manchester City inayonolewa na Mhispaniola pia, Pep Guardiola na Aston Villa inayonolewa na Mhispaniola mwingine, Unai Emery.

Wakati ligi hiyo ikizidi kupamba moto kutokana na kuwa na vita nyingi, ile ya kusaka ubingwa, kuwania tiketi ya kucheza michuano ya Ulaya na mchakamchaka wa kujinusuru na ishu ya kushuka daraja, kasheshe lipo pia kwa mchezaji mmoja mmoja, ambao wanajaribu kuonyesha makali yao uwanjani.

Kutokana na hilo, hii hapa orodha ya mastaa watano wa juu wanaoongoza kwenye vipengele mbalimbali vya ubora katika Ligi Kuu England wa 2025/26.

MBA 01

Vinara wa mabao

Haaland (Man City) – 20

Igor Thiago (Brentford) – 16

Semenyo (Bournemouth) – 10

Calvert-Lewin (Leeds) – 9

Hugo Ekitike (Liverpool) – 8


Vinara wa asisti

Bruno Fernandes (Man Utd) – 8

Rayan Cherki (Man City) – 7

Jack Grealish (Everton) – 6

Mohammed Kudus (Spurs) – 5

Granit Xhaka (Sunderland) – 5


Vinara wa kadi za njano

Cristian Romero (Spurs) – 9

Lewis Dunk (Brighton) – 8

Lucas Paqueta (West Ham) – 7

Casemiro (Man Utd) – 7

Kyle Walker (Burnley) – 7


Vinara wa kucheza dakika nyingi

Anderson (Nottingham Forest) – 1,890

Neco Williams (Forest) – 1,890

Milenkovic (Forest) – 1,890

Tarkowski (Everton) – 1,890

Lacroix (Crystal Palace) – 1,890


Vinara wa kupiga mashuti

Haaland (Man City) – 83 (golini 41)

Cunha (Man Utd) – 58 (20)

Bowen (West Ham) – 53 (19)

Mateta (Crystal Palace) – 50 (23)

Semenyo (B’mouth) – 49 (27)

MBA 02

Vinara wa kukosa nafasi

Erling Haaland (Man City) – 20

Mateta (Crystal Palace) – 15

Ollie Watkins (Aston Villa) – 12

Igor Thiago (Brentford) – 10

Benjamin Sesko (Man Utd) – 8


Vinara wa kupiga pasi muhimu

Bruno Fernandes (Man Utd) – 56

Anton Stach (Leeds) – 40

Jeremy Doku (Man City) – 39

Phil Foden (Man City) – 39

Jack Grealish (Everton) – 38


Vinara wa kupiga pasi sahihi

Lewis Dunk (Brighton) – 1,484

Virgil van Dijk (Liverpool) – 1,442

Ruben Dias (Man City) – 1,308

Hecke (Brighton) – 1,268

Anderson (Forest) – 1,194


MBA 03

Vinara wa kupiga pasi za mbele

Anderson (Nottingham Forest) – 177

Bruno Guimaraes (Newcastle) – 161

Virgil van Dijk (Liverpool) – 160

Bruno Fernandes (Man Utd) – 145

Enzo Fernandez (Chelsea) – 144


Vinara wa kugusa mpira

Virgil van Dijk (Liverpool) – 1,838

Anderson (Forest) – 1,807

Lewis Dunk (Brighton) – 1,792

Joachim Andersen (Fulham) – 1,734

Hecke (Brighton) – 1,685


Vinara wa kugusa mpira boksi la wapinzani

Erling Haaland (Man City) – 127

Yankuba Minteh (Brighton) – 105

Bukayo Saka (Arsenal) – 98

Jeremy Doku (Man City) – 98

Jack Grealish (Everton) – 94


Vinara wa kuzuia mipira

Moises Caicedo (Chelsea) – 37

Marcos Senesi (Bournemouth) – 32

Nordi Mukiele (Sunderland) – 28

Chris Richards (Crystal Palace) – 27

Kyle Walker (Burnley) – 27


Vinara wa kuokoa mipira

Lacroix (Crystal Palace) – 158

Virgil van Dijk (Liverpool) – 157

Marcos Senesi (Bournemouth) – 157

Joachim Andersen (Fulham) – 156

James Tarkowski (Everton) – 154

MBA 04

Vinara wa kuchezewa rafu

Jack Grealish (Everton) – 52

Anderson (Nottingham Forest) – 48

Bruno Guimaraes (Newcastle) – 45

Williams (Nottingham Forest) – 39

Patrick Dorgu (Man Utd) – 38


Vinara wa kucheza rafu

Joao Gomes (Wolves) – 41

Antoine Semenyo (Bournemouth) – 38

Sasa Lukic (Fulham) – 37

Thiago (Brentford) – 36

Anderson (Nottingham Forest) – 32


Vinara wa kuotea

Evanilson (Bournemouth) – 18

Thiago (Brentford) – 14

Raul Jimenez (Fulham) – 14

Dominic Calvert-Lewin (Everton) – 14

Jean-Philippe Mateta (Crystal Palace) – 13


Vinara wa kurudisha mpira kwenye umiliki

Elliot Anderson (Nottingham Forest) – 177

Joao Gomes (Wolves) – 112

Yehor Yarmoliuk (Brentford) – 110

Andre (Wolves) – 106

Tyrick Mitchell (Crystal Palace) – 106

MBA 05

Vinara wa kucheza mipira ya juu

Virgil van Dijk (Liverpool) – 104 (amepoteza 31)

James Tarkowski (Everton) – 90 (39)

Ibrahima Konate (Liverpool) – 78 (29)

Sepp van den Berg (Brentford) – 71 (36)

Michael Keane (Everton) – 70 (42)


Vinara wa clean sheets

David Raya (Arsenal) – 9

Robert Sanchez (Chelsea) – 8

Donnarumma (Man City) – 8

Jordan Pickford (Everton) – 8

Dean Henderson (Crystal Palace) – 8


Vinara wenye sevu nyingi

Martin Dubravka (Burnley) – 75

Robin Roefs (Sunderland) – 71

Alphonse Areola (West Ham) – 63

Bart Verbruggen (Brighton) – 59

Djordje Petrovic (Bournemouth) – 57


Vinara walioruhusu mabao machache

David Raya (Arsenal) – 14

Donnarumma (Man City) – 15

Emi Martinez (Aston Villa) – 16

Nick Pope (Newcastle) – 17

Alisson (Liverpool) – 18