Mbappe aipeleka Ufaransa 16 bora TIMU ya taifa ya Ufaransa imekata tiketi ya kucheza hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Sweden, huku nyota wa kikosi hicho, Kylian Mbappe...
Kombe la Dunia katikati ya eneo la dawa za kulevya MASHABIKI wa soka wanakabiliwa na hali ya kutisha jijini Boston, Marekani ambako waraibu wa dawa za kulevya wanaofananishwa na “zombi” huzurura katika eneo maarufu linalojulikana kama Methadone...
Haaland: Presha ipo kwa England NAHODHA na mshambuliaji ya Norway, Erling Haaland, amesema presha yote ipo kwa England kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia utakaochezwa Jumamosi, huku akiwasihi waandishi wa habari...
Mbappe vs Yamal, vita ya tiketi ya fainali Kombe la Dunia NYOTA chipukizi wa Hispania, Lamine Yamal baada ya kuingoza Hispania kutinga nusu fainali, amesema kikosi chao hakiingiwi na hofu kuelekea mchezo mkubwa dhidi ya Ufaransa, akisisitiza kuwa...
MAONI YA MHARIRI: Uhuni huu wa wanasoka kwa wanahabari haukubaliki asilan UHUNI na vitendo vya wachezaji kujichukulia sheria mikononi dhidi ya wanahabari vimeendelea tena baada ya majuzi, mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa kumshambulia kwa kipigo mpiga picha wa...
Kikosi bora cha nusu fainali Kombe la Dunia NUSU fainali za Kombe la Dunia ziliandika simulizi mbili za kusisimua huku Hispania, Ufaransa, Argentina na England zikipigania tiketi ya kucheza mechi ya mwisho ya michuano hiyo.
Tzolis bado kidogo tu kutua Arsenal Arsenal imefikia makubaliano na Club Brugge ya Ubelgiji kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ugiriki, Christos Tzolis, kwa ada ya Pauni 34 milioni.
PSG yajiondoa dili la Michael Olise Paris Saint-Germain imejiondoa kwenye mbio za kumsajili winga wa Bayern Munich, Michael Olise, baada ya kukataa kushiriki vita ya dau kubwa la uhamisho.
Mbappe afunika, Hispania wafagia tuzo NAHODHA na mshambuliaji wa Ufaransa, Kylian Mbappe, ameweka rekodi mpya katika historia ya Kombe la Dunia baada ya kuwa mchezaji wa kwanza kushinda Kiatu cha Dhahabu mara mbili mfululizo, huku...
Keyne Yamal ateka tena shoo! WAKATI mashabiki wa soka duniani wakimsifu nyota wa Hispania, Lamine Yamal, baada ya kuiongoza timu yake kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa kuichapa Argentina bao 1-0, aliyekuwa gumzo zaidi...