Barca rasmi mezani na Man United dili la Rashford BARCELONA inatarajia kuanza rasmi mazungumzo na Manchester United kuhusiana na uwezekano wa kumsainisha jumla mshambuliaji wa klabu hiyo na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford ambaye...
Wanasakwa wakavae buti za Rashford Man United KINACHOONEKANA ni kama vile Marcus Rashford ameshacheza mechi yake ya mwisho kwenye kikosi cha Manchester United baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa kwa mkopo huko Barcelona.
Mabosi Juventus wajitosa dili la Silva JUVENTUS imeanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.
Manchester United waambiwa... Kocha ni Ancelotti HUKO Old Trafford maswali yamekuwa mengi kuhusu sakata la kocha wa kudumu wa kuinoa Manchester United kuanzia msimu ujao.
Man United sharti icheze Ligi ya Mabingwa Ulaya ili kufanikisha hili MANCHESTER United italazimika kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya kama kweli inataka kuwa na nafasi ya kuwasajili viungo wawili matata kabisa wa England, Elliot Anderson na Adam Wharton.
Bernardo Silva ni bure, kigogo Saudia atajwa KIUNGO wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Manchester City, Bernardo Silva, mwenye umri wa miaka 31, anatarajiwa kuondoka katika viunga vya Etihad wisho wa msimu ambapo mkataba wake unatarajiwa...
Leon Goretzka mambo yameiva Arsenal Arsenal inaongoza katika vita ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ujerumani, Leon Goretzka, 31, kutoka FC Bayern Munich.
Makocha saba mlangoni Spurs MAMBO si shwari. Tottenham Hotspur imendelea kuzorota chini ya kocha Igor Tudor. Kipigo cha aibu cha mabao 5-2 ilichopata kutoka kwa Atletico Madrid usiku wa Jumanne kilikuwa cha nne mfululizo...
Iran yajitoa Kombe la Dunia 2026 IRAN haitashiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 kutokana na vita vinavyoendelea kati ya taifa hilo na Marekani, amesema waziri wa michezo wa nchi hiyo, Ahmad Donyamal.
Vipigo vitatu Lakers vyatibua mambo VIPIGO vitatu mfululizo ilivyovipata Los Angeles Lakers dhidi ya Houston Rokects, Los Angeles Clippers na Phoenix Suns kabla ushindi dhidi ya Utah Jazz vimebakiza donge kwa kocha wa kikosi hicho,...