David Luiz, Viktor Dadason waweka rekodi Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mabingwa wa Cyprus, Pafos FC, wametoka nyuma na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya AS Monaco katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, huku beki mkongwe David Luiz akiandika historia kwa kuwa mfungaji wa pili...