Vigogo wanaopewa nafasi ya kupenya kwenye kila kundi Afcon 2025 WIKI moja tu imebaki kabla ya kuanza kwa mchakamchaka wa mashindano ya soka ya kusaka ubingwa wa Afrika.
‘Ubaya ubwela’… Njia ya kwenda fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya NDO hivyo. Hii inaitwa ubaya ubwela. Njia ya kila timu ya England kwenda fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu sasa imefahamika.
Emiliano Martinez katua anga za Inter Milan INTER Milan inafikiria uwezekano wa kumsajili kipa wa Aston Villa na timu ya taifa ya Argentina, Emiliano Martinez, 33, katika dirisha la usajili wa majira ya kiangazi.
Kocha Simba ainyima taji Nigeria KOCHA wa zamani wa Simba, Dylan Kerr aliyewahi pia kuzinoa Gor Mahia ya Kenya na Moroka Swallows ya Afrika Kusini, ameshindwa kujizuia na kutoa sababu zinazomfanya aamini kuwa Nigeria na Afrika...
Mchongo wa Napoli kwa Mainoo upo hivi NAPOLI bado imeendelea kuonyesha nia ya kumsajili kiungo wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Kobbie Mainoo, 20, lakini dili hilo litawezekana tu ikiwa winga wa kimataifa wa...
Real Madrid yapiga kimya ishu ya Trent kuondoka BEKI wa kulia wa kimataifa wa England, Trent Alexander-Arnold, 27, hajaambiwa aondoke Real Madrid, licha ya taarifa kutoka Hispania kudai kuwa kocha mpya Alvaro Arbeloa amemtaka atafute timu...
Hii kitu ya Palmer ngoja tuone mwisho KWA maelezo ya kocha wa Chelsea, Liam Rosenior ni kwamba kiungo Cole Palmer anafurahia maisha Stamford Bridge.
Kocha Morocco atoa msimamo KOCHA wa Morocco, Walid Regragui, ameitaka timu ya taifa kuepuka kujivuna baada ya kufuzu nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), kufuatia ushindi walioupata wakiwa nyumbani wikiendi...
Como inamtaka Silva, Juve, Galatasaray bado zipo KIUNGO wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva, 31, anadaiwa huenda akatimkia Italia kujiunga na Como katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka huu.
Vigogo England vikumbo tu, vita bado mbichi kwa Guehi ARSENAL ipo tayari kuingia katika vita dhidi ya Manchester City na timu nyingine za Ligi Kuu England ili kuipata saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi...