Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9022 results for Mwandishi :

  1. Mbeumo, Manchester United mambo yazidi kuwa magumu

    MPANGO wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Brentford na timu ya taifa ya Cameroon, Bryan Mbeumo, 25, umesimama kwa muda baada ya timu yake kuongeza bei hadi kufikia Pauni 70 milioni...

    FUNUNU Pict
  2. Real Madrid yapanga kumuuza Vinicius Jr

    REAL Madrid imempanga kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, katika dirisha hili ikiwa ataendelea kugoma kuongeza mkataba mpya katika dirisha hili.

    TETESI Pict
  3. Wakipatikana hawa Liverpool, maji mtaita ‘Mmma’

    HUU msimu patakwenda kuchimbika. Liverpool inaonekana kufungua pochi kuhakikisha kocha Arne Slot anafanya usajili kwenye dirisha lake la kwanza la majira ya kiangazi - na sasa kinachoonekana...

    LIVERPOOL Pict
  4. Madrid, Liverpool yafungua mazungumzo dili la Rodrygo

    GALATASARAY imetuma ofa nyingine kwenda Napoli ambayo inaeleza imekubali kulipa Euro 75 milioni kwa ajili ya kumsajili straika wa timu hiyo na Nigeria, Victor Osimhen katika dirisha hili.

    FUNUNU Pict
  5. Mourinho apendekeza jina la Rashford Fenerbahce

    KOCHA wa Fenerbahce ya Uturuki, Jose Mourinho anadaiwa kupendekeza jina la mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, 27, kwa mabosi wa timu yake na...

  6. Timu kibao zinamtaka Darwin Nunez

    BARCELONA, AC Milan, Al Hilal na Al Nassr zote zipo katika vita kali ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, 26, katika dirisha hili la majira...

  7. Garnacho, Napoli kuna kitu

    MKURUGENZIwa michezo wa Napoli, Giovanni Manna anatarajia kukutana na wawakilishi wa Manchester United kujadili uwezekano wa kuipata saini ya winga wa timu hiyo na Argentina, Alejandro Garnacho...

    GERNACHO Pict
  8. PSG v Inter, beti kwenye fainali ya kusisimua ya UEFA

    Tovuti bora ya kubashiri michezo 1xBet inawasilisha mechi ya uamuzi ya mashindano makuu ya vilabu barani Ulaya, itakayochezwa Mei 31.

  9. Dortmund yajiweka kando kufukuzia saini ya Sancho

    BORUSSIA Dortmund haina nia ya kumsajili Jadon Sancho katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi, huku mustakabali wa mchezaji huyo wa kimataifa wa England ukiwa haueleweki.

    TETESI Pict
  10. Usajili 2025/26, Arsenal ina jambo lake!

    ARSENAL imepanga kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake baada ya kuwa na mkwanja wa Pauni 150 milioni wa kutumia kwenye usajili wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi huku...

    USAJILI Pict
Previous

Page 650 of 903

Next