Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

PSG v Inter, beti kwenye fainali ya kusisimua ya UEFA

Muktasari:

  • Paris Saint-Germain, mshirika rasmi wa 1xBet, wamejipanga kushinda taji lao la kwanza la Ligi ya Mabingwa. Mabingwa hao wa Ufaransa wamewahi kucheza fainali mara moja tu mwaka 2020, timu hiyo iliyokuwa na Neymar na Kylian Mbappé ilifungwa 1–0 na Bayern Munich.

Tovuti bora ya kubashiri michezo 1xBet inawasilisha mechi ya uamuzi ya mashindano makuu ya vilabu barani Ulaya, itakayochezwa Mei 31.

Fuata misingi ya kubashiri kwa kuwajibika, toa utabiri wako kupitia Linki hiki na shiriki ushindi pamoja na unayempenda!


Mabingwa Wapya?

Paris Saint-Germain, mshirika rasmi wa 1xBet, wamejipanga kushinda taji lao la kwanza la Ligi ya Mabingwa. Mabingwa hao wa Ufaransa wamewahi kucheza fainali mara moja tu mwaka 2020, timu hiyo iliyokuwa na Neymar na Kylian Mbappé ilifungwa 1–0 na Bayern Munich.

Mwaka huu, PSG inategemea ushirikiano wa timu na vipaji chipukizi. Kocha Luis Enrique amemgeuza Ousmane Dembélé kuwa miongoni mwa wagombea wa Ballon d’Or,

Pia ameonesha imani kwa wachezaji vijana Désiré Doué na João Neves, ambao sasa wana uzoefu na wanaonesha kandanda la kuvutia.

Mwaka huu, uchawi wa jiji la Munich unaipa PSG matumaini: katika fainali zote 4 za Ligi ya Mabingwa zilizowahi kuchezwa mjini humo, mabingwa wapya waliibuka. Luis Enrique pia ana takwimu nzuri kwenye mechi za uamuzi  klabu zake zimeshinda mechi 10 kati ya 12.


Cha kuvutia, hii ni fainali ya pili tu ya Ligi ya Mabingwa inayozikutanisha klabu kutoka Ufaransa na Italia. Ya kwanza ilikuwa mwaka 1993 ambapo Marseille waliibuka na ushindi dhidi ya AC Milan. Hata hivyo, tangu wakati huo, hakuna klabu ya Ufaransa iliyofanikiwa kutwaa taji hilo.

Baada ya nusu fainali, Luis Enrique alifurahia kwamba PSG hawatacheza dhidi ya Barcelona, lakini Inter huenda wakawa wapinzani wa kuogopwa zaidi. Wa-Italia hao wanajua kuendana na wapinzani wao na wanaweza kuruhusu timu pinzani kuwa na mpira lakini wana uwezo mkubwa wa kucheza chini ya presha, na mashambulizi yao ya kushtukiza ni hatari sana.


Inter Wamerudi kwa Kishindo

Miaka miwili iliyopita, kikosi cha Simone Inzaghi kilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester City, hivyo safari hii watapambana kuepuka makosa ya awali. Kwa ujumla, Nerazzurri (Inter Milan) wamecheza fainali za michuano hiyo mara 6 na kushinda mara 3.

Inter wanakumbuka kwa furaha uwanja wa Allianz Arena – waliwafunga Bayern Munich 2–1 katika hatua ya robo fainali kwenye uwanja huo. Mafanikio ya Inter chini ya Simone Inzaghi katika hatua za mtoano yanavutia sana. Hawakuwa na nafasi kubwa dhidi ya Bayern na Barcelona, lakini walionesha uimara wa kisaikolojia na kujikatia tiketi ya fainali.

Lautaro Martínez anastahili pongezi maalum. Mshambuliaji huyo wa Argentina alicheza mechi ya marudiano dhidi ya Barcelona akiwa na majeraha, lakini bado aliweza kufunga bao na kusababisha penalti. Kwa bahati nzuri, nahodha huyo wa Inter atakuwa fiti kwa ajili ya fainali.

Mechi dhidi ya Barcelona mjini Milan pia ilikuwa ya kukumbukwa kwa sababu ya simulizi ya kushangaza ya Francesco Acerbi – beki huyo mwenye umri wa miaka 37 alisawazisha dakika za mwisho kwa kufunga bao lake la kwanza katika mashindano ya UEFA akiwa amevaa viatu vilevile alivyovaa kwa mara ya kwanza miaka 19 iliyopita. Je, viatu hivyo vitaendelea kuleta bahati kwenye fainali? Na ni hadithi gani nyingine za kusisimua tunaweza kupata Mei 31?

Kwa mfano, endapo Inter watashinda, Henrikh Mkhitaryan atakuwa mchezaji wa kwanza kutwaa mataji yote matatu: Ligi ya Mabingwa, Ligi ya Europa na Ligi ya Mkutano wa Europa (Conference League).

Odds: W1 – 2.337, X – 3.43, W2 – 3.32

Tunatumaini kuwa uchambuzi huu utakusaidia kuchagua timu unayoipenda, na sasa uko tayari kufanya ubashiri wa ushindi kupitia Linki hii. Shukrani kwa bonasi ya ukaribisho ya 200% hadi shilingi 55,000, utakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda kwa kiasi kikubwa!


Tumia Linki hii ya ofa: 1XSPOTIunapojisajili, na fuata kanuni za kubashiri kwa kuwajibika, na gonga jackpot!


Bofya hapa http://1xplayers.com/L5krMb3M upate bonasi yako