Wema Sepetu apotezea ishu ya fomu, akomaa na Whozu IKIWA mashabiki wengi wa burudani na mitindo wakmsubiri aende kuchukua fomu ya kuwania kuomba uteuzi wa chama cha siasa kwa ajili ya kuwa mwakilishi wa wananchi kama walivyofanya baadhi ya...
Sancho akubali kushusha mzigo akiitaka Juventus WINGA wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho mwenye miaka 25, yuko tayari kupunguza mshahara wake ili kukamilisha dili lake kutoka Manchester United kwenda Juventus...
Napoli yaweka mzigo kwa Darwin Nunez INAELEZWA kwamba Napoli imewasilisha ofa ya Pauni 42 milioni kwenda Liverpool kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, mwenye umri wa miaka 26.
Waarabu waingilia dili la Arsenal kwa Sesko MSHAMBULIAJI wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Slovenia, Benjamin Sesko, mwenye miaka 22, ambaye pia anawindwa na Arsenal ameripotiwa kuwa katika rada za Al-Hilal ya Saudi Arabia inayohitaji...
Ripoti ya ajali ya Jota ni hii DEREVA wa lori ambaye inadai aliona gari aina ya Lamborghini la Diogo Jota na Andre Silva likiwaka moto ameihakikishia familia ya ndugu hao kuwa gari hilo halikuwa likiendeshwa kwa mwendo kasi...
Real Betis, Antony sasa mambo ni freshi REAL Betis bado ina matumaini ya kumsajili winga wa kimataifa wa Brazil, Antony kutoka Manchester United kwa mkataba wa moja kwa moja baada ya kuvutiwa sana na kiwango alichoonyesha msimu...
Cooper Flagg aanza mdogomdogo Las Vegas KATIKA Uwanja wa Thomas & Mack jijini Las Vegas, kijana mwenye umri wa miaka 18 tu, Cooper Flagg alicheza mchezo wake wa kwanza katika NBA 2K26 Summer League akiwa na jezi za Dallas Mavericks.
Arsenal haijakata tamaa kuinasa saini ya Rodrygo ARSENAL bado ina nia ya kumsajili winga wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Rodrygo, 24, licha ya kuwa karibu kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Chelsea raia wa England Noni Madueke...
Mbeumo, Manchester United mambo yazidi kuwa magumu MPANGO wa Manchester United kumsajili mshambuliaji wa Brentford na timu ya taifa ya Cameroon, Bryan Mbeumo, 25, umesimama kwa muda baada ya timu yake kuongeza bei hadi kufikia Pauni 70 milioni...
Real Madrid yapanga kumuuza Vinicius Jr REAL Madrid imempanga kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, katika dirisha hili ikiwa ataendelea kugoma kuongeza mkataba mpya katika dirisha hili.