Newcastle yamjibu Isak, mambo yazidi kutibuka NEWCASTLE United imemjibu mshambuliaji wao wa kimataifa wa Sweden, Alexander Isak baada ya staa huyo kutoa tamko zito kupitia mitandao ya kijamii.
Man United yatoa msimamo kwa Rasmus Hojlund MANCHESTER United imeiambia Napoli na timu zote zinazomhitaji mshambuliaji wao wa kimataifa wa Denmark, Rasmus Hojlund, 22, zinatakiwa kutoa pesa au kumchukua kwa mkopo wenye kipengele cha...
CHAN 2024: Guinea, Algeria ngoja tuone FAINALI za CHAN 2024 zinaingia wiki ya pili leo Ijuma tangu zilipoanza rasmi Agosti 2 na zitapigwa mechi mbili za Kundi C, mapema saa 11:00 jioni Guinea itavaana an Algeria, huku usiku ni zamu ya...
Donnarumma ni suala la muda tu kusaini Manchester City GIANLUIGI Donnarumma ameripotiwa kufikia makubaliano na klabu ya Manchester City.
Noma sana! OPTA yaanika kumi bora EPL MASTAA 10 bora kwenye Ligi Kuu England msimu huu wamewekwa bayana kwa mujibu wa takwimu za Opta huku kiungo wa Chelsea, Moises Caicedo akiongoza kwa kufanya vizuri baada ya mechi tatu...
Mabosi Crystal Palace wamuweka ‘mtu kati’ Guehi MWENYEKITI wa Crystal Palace, Steve Parish, amefanya mazungumzo ya ana kwa ana na beki wa kimataifa wa England Marc Guehi, 25, pamoja na familia yake baada ya kuzuia uhamisho wake wa kujiunga na...
PRIME Hizi ndiyo sababu za Ibenge kukata mastaa Azam Baada ya kukaa na kikosi kwa mwezi mzima, kocha mkuu wa Azam FC amefyeka wachezaji kadhaa wa timu hiyo. Taarifa za kuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa benchi la ufundi la kocha huyo zinasema...
Vardy awindwa akachezee timu mpya Serie A STRAIKA, Jamie Vardy amewekwa kwenye mchakato wa kujiunga bure na moja ya timu inayoshiriki mikikimikiki ya Serie A.
Eberechi Eze anavyoleta utamu Arsenal MIKEL Arteta amefanya umafia dhidi ya mahasimu wao wa London Kaskazini baada ya Arsenal kufanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji ambaye alikuwa akielekea kwa wapinzani wao Tottenham Hotspur.
Vigogo Manchester City bado wanaitaka saini ya Rodrygo MANCHESTER City bado haijafunga milango ya kumsajili winga wa Real Madrid na Brazil Rodrygo, 24, dirisha hili la majira ya kiangazi.