Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9014 results for Mwandishi :

  1. KSI; Tajiri mwenye mishe nyingi za kupiga hela

    MWISHONI mwa wiki iliyopita, jina la KSI lilitikisa tena mitandao baada ya kampuni yake ya vinywaji, PRIME Hydration, kutajwa kama moja ya bidhaa za vinywaji zinazobamba sana Ulaya na Marekani.

    ATM Pict
  2. Kosa kubwa la Golden State Warriors dirisha la usajili NBA 2026

    GOLDEN State Warriors wamefika siku ya mwisho ya dirisha la usajili katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) 2026 wakiwa njiapanda wakijaribu kusawazisha ili kuwa bora kiushindani sambamba na...

  3. Vita ya ubingwa EPL iko hapa

    MAMBO yamezidi kunoga. Matumaini ya Arsenal yalikuwa ni kuondoka kwenye mechi ya ugenini dhidi ya Sunderland kwa kuzoa pointi zote tatu baada ya kupindua meza, lakini Brian Brobbey, alikuja...

    UBINGWA Pict
  4. Kocha wa Spurs aweka mezani jina la Ivan Toney

    KOCHA wa Tottenham hotspur, Thomas Frank anadaiwa kuwasilisha jina la straika wa Al-Ahli, Ivan Toney kwa mabosi wa Spurs akitaka asajiliwe katika dirisha lijalo la majira ya baridi.

    FUNUNU Pict
  5. Dabi kuahirishwa ni aibu, ila la Kocha Ahmad ni aibu zaidi

    VUURUGU za siku kadhaa kuanzia Oktoba 29, ulipofanyika Uchaguzi Mkuu nchini, zilisababisha mambo mengi kusimama ikiwamo michezo.

    PUMZI Pict
  6. Mashabiki Manchester City wamtabiria mabaya Arne Slot

    “UTAFUKUZWA kazi mapema asubuhi,” waliimba mashabiki wa Manchester City kumlenga kocha wa Liverpool, Arne Slot kutokana na mambo yanavyokwenda kombo kwenye kibarua chake cha kuinoa miamba hiyo ya...

    MASHABIKI Pict
  7. Arsenal kuingia sokoni Januari 2026

    USHAWAHI kupita kwenye gulio? Kuna lugha zao kule kwenye uuzwaji wa bidhaa ikiwamo ya sagula sagula, kwamba mnunuzi chagua unachokitaka. Hicho ndicho inachokwenda kufanya Arsenal kwenye dirisha...

    ARTETA Pict
  8. De Zerbi atajwa Tottenham Hotspur, wanane wakichomoza

    HAKUNA namna. Mabosi wa Tottenham Hotspur wameripotiwa kupambana kumshawishi Muitaliano Roberto De Zerbi kuchukua jukumu la kuwa kocha mpya wa kikosi hicho, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali.

    ZABRI Pict
  9. Tuchel akwepa mtego Arsenal

    HABARI ndio hiyo. Kocha wa England, Thomas Tuchel amefichua kuwa ruhusa aliyoitoa kwa mastaa wa Arsenal, wakiwemo Bukayo Saka na Declan Rice katika mechi ya kirafiki dhidi ya Japan haikuwa...

  10. Dar City, Petro de Luanda vita ya nafasi BAL

    DAR City na Petro de Luanda ya Angola zinatarajiwa kuonyeshana kazi katika mechi ya Ligi ya Kikapu ya Afrika (BAL) inayotazamiwa kutoa mwelekeo wa mabingwa wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL)...

    CITY Pict
Previous

Page 613 of 902

Next