Libase Gueye aanza na moto, Simba ikiichapa Mashujaa 2-0
LIBASE Gueye, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Bara ndani ya Simba akicheza dhidi ya Mashujaa, amefanikiwa kufunga bao, huku akionyesha kiwango kilicholeta matumaini mapya ndani ya kikosi hicho...