PRIME Ishu ya Azam, Manula yafikia hapa MABOSI wa Azam FC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipo hatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo mahiri...
Juventus yajitosa dili la Viktor Gyokeres, yaweka ofa mezani JUVENTUS imemwekea mezani mshambuliaji wa Sporting, Viktor Gyokeres, ofa ya mshahara wa Pauni 11 milioni kwa mwaka, ili kumsajili katika dirisha hili.
Amorim kuwapiga chini wachezaji hawa! KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amepanga kuwapiga chini Alejandro Garnacho, Marcus Rashford, Antony na Jadon Sancho kwenye orodha ya mastaa atakaowajumuisha kwenye kikosi chake...
MRBEAST: YouTube ni dunia yake KATIKA moja ya mahojiano ya Cristiano Ronaldo alipokuwa akielezea kilichomsukuma hadi kufungua chaneli yake ya YouTube ni watoto wake walimwambia hata kama akiwa na chaneli hatoweza kumpita...
Chelsea yafikia patamu kwa Jamie Gittens CHELSEA iko karibu kukamilisha dili la kumsajili winga wa Borussia Dortmund na timu ya taifa ya vijana ya England chini ya miaka 21, Jamie Gittens, mwenye umri wa miaka 20, katika dirisha hili.
Staa wa Yanga kuwania uenyekiti AFC Leopards SC Bonface Ambani, gwiji wa soka nchini Kenya na mchezaji wa zamani wa AFC Leopards, amezindua rasmi ilani yake ya kampeni iitwayo “IPOSIKU” leo Juni 26, 2025, katika ukumbi wa KCB Simba jijini...
Benjamin Sesko aipa sharti moja Arsenal amwage wino STRAIKA wa RB Leipzigz, Benjamin Sesko ameipa Arsenal sharti la kuweka kipengele maalumu kwenye mkataba wake ambacho kitakuwa kinaeleza ni kiasi gani kikilipwa na timu itakayomhitaji anaweza...
Juventus yajitosa kwa Sancho, Napoli bado ipo JUVENTUS ya Italia ni miongoni mwa timu zinazohitaji saini ya winga wa Manchester United, Jadon Sancho, 25, dirisha hili la majira ya kiangazi lakini inakumbana na upinzani mkali kutoka Napoli.
Ishu ya straika, Man United yatua kwa Keane MANCHESTER United inaonyesha nia ya kumsajili straika wa Fiorentina na timu ya taifa ya Italia, Moise Kean, 25, ambaye ana kipengele cha kuondoka ikiwa timu inayomtaka italipa Euro 52 milioni...
Vigogo Ulaya wapewa mchongo kumpata Donnarumma Paris Saint-Germain inatarajia kupokea ofa kutoka Chelsea, Manchester United au Inter Milan kwa kipa wa timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma,26, ambaye ameomba kuondoka dirisha hili.