Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9003 results for Mwandishi :

  1. Ile siku ya fainali UEFA CL ndo leo

    ILE siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ndio leo. Ndio, leo ni kilele cha michuano ya kimataifa Ulaya kwa msimu huu. Mechi kubwa ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inapigwa leo katika nchi...

    UEFA Pict
  2. Wanaowania uongozi TFF waanikwa, sita wautaka urais

    KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetoa orodha ya awali ya waliochukua na kurudisha fomu kuomba uongozi katika Shirikisho hilo kwa ajili ya usaili utakaofanyika Julai 2...

    WAGOMBEA Pict
  3. Deni laiponza Lyon, yashushwa daraja hadi Ligue 2 Ufaransa

    VIGOGO wa Ligue 1, Lyon, wameshushwa daraja kutoka Ligi Kuu Ufaransa hadi Ligue 2 kutokana na deni kubwa la takriban euro milioni 500. Lyon, pamoja na baadhi ya klabu nyingine kubwa za Ligue 1...

    LYON Pict
  4. Sikia hii! Darwin Nunez sasa anaitaka Napoli

    STRAIKA wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, mwenye umri wa miaka 25, ameitaja Napoli kuwa ndio timu anayopendelea kujiunga nayo ikiwa ataondoka Anfield katika dirisha hili la...

    TETESI Pict
  5. Iwobi kwenye kisa cha kubebWa na Okocha, Ronaldinho utotoni

    LAMINE Yamal amekuwa moto mkali uwanjani kwa sasa, akicheza soka lake la uhakika Barcelona na timu ya taifa ya Hispania. Na wakati akifanya hilo, kuna stori kwamba aliogeshwa na supastaa wa soka,...

    IWOBI Pict
  6. Nunez aingia anga za Napoli, Liverpool ikipokea ofa ya Al Nassr

    NAPOLI inakumbana na upinzani mkali kutoka timu za Saudi Arabia katika mpango wake wa kutaka kumsajilj straika wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez.

    TETESI Pict
  7. Arsenal yakomaa kwa Viktor Gyokeres, Atletico yajitosa

    ARSENAL inajiandaa kurejea na ofa nyingine kwa mshambuliaji wa Sporting Lisbon na timu ya taifa ya Sweden, Viktor Gyokeres, mwenye umri wa miaka 27, dirisha lijalo.

    TETESI Pict
  8. Waarabu wamwekea Victor Osimhen Sh2.6 bilioni kwa wiki

    AL-Hilal ya Saudi Arabia imeboresha ofa kwa mshambuliaji wa Napoli anayewindwa na Manchester United, Victor Osimhen, 26, ambapo imeweka mezani mshahara wa pauni 819,230 kwa wiki ambazo ni sawa...

    TETESI Pict
  9. Liverpool yawasilisha ofa mpya kwa Florian Wirtz

    LIVERPOOL iko tayari kutoa ofa ya mwisho yenye thamani ya Pauni 118 milioni kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani, Florian Wirtz, mwenye...

    TETESI Pict
  10. Timu ya mastaa wa nguvu Italia inavyoshushwa hadi mchangani 

    UKICHOKA, watu wanakuchoka zaidi. Ndicho unachoweza kusema juu ya stori ya klabu maarufu ya soka ya huko Italia, Brescia ambayo imeondoshwa kabisa kwenye soka la kulipwa la nchi hiyo baada ya...

    MASTAA Pict
Previous

Page 591 of 901

Next