PUMZI YA MOTO: Kayoko ‘akurupushwa usiku wa manane’ kuchezesha Ligi Kuu TANGU achezeshe mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, Oktoba 19 mwaka huu, mwamuzi Ramadhan Kayoko ‘alisahaulika’ kwenye viwanja vya Ligi Kuu Bara.
Bruce Melodie adondosha “Niki Minaji” X Blaq Diamond MSANII wa muziki kutoka Rwanda, Bruce Melodie, ameachia singo yake mpya iitwayo “Niki Minaji” akiwa amemshirikisha msanii wa Afrika Kusini, Blaq Diamond.
PRIME Vurugu, uharibifu vinavyoziweka matatani Simba, Sfaxien MATUKIO ya vurugu na uharibifu wa viti kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar yaliyotokea juzi Jumapili katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyowakutanisha Simba na CS Sfaxien ya Tunisia...
Harmonize agonga kolabo ya kibabe na mastaa kibao Ghana MSANII wa Bongo Fleva, Rajab Abdul 'Harmonize' ameshirikishwa na staa wa muziki kutoka Ghana, KJ Spio katika kibao kiitwacho 'Messi".
SPOTI MIKIKI: Ni nini kimewakuta vinara wa msimu uliopita? Tukiwa katika mzunguko wa 14 wa ligi kuu msimu wa 2024/25, mambo mengi yamekuwa kinyume sana na aidha matarajio au uhalisia kwa kulinganisha na msimu uliopita.
Simba kuwajibika kung’olewa viti kwa Mkapa Vurugu ziliibuka jana Desemba 15, 2024 katika mechi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baina ya Simba dhidi ya CS Sfaxien, ambapo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
PRIME Siku 32 ngumu kwa Yanga YANGA juzi jioni ikiwa jijini Lubumbashi, DR Congo ilitumia sekunde chache kabla ya pambano lao dhidi ya TP Mazembe kumalizika, kufunga bao la kwanza lililowapa pointi moja katika mechi za...
Slot apiga mkwara, Liverpool ikiongoza msimamo EPL LIVERPOOL ipo kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Inaongoza pia msimamo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Lakini, kocha wao Arne Slot anapiga mikwara kwa kusema hapo bado hawajajipata...
Mo Salah mambo ni matamu tu SUPASTAA, Mohamed Salah amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu England wa Mwezi Novemba, akifikia rekodi tamu kama mchezaji wa Liverpool.
Fernandes: Man City? Wenyewe tuna shida kibao MANCHESTER, ENGLAND: KIUNGO na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema timu yao ina matatizo mengi kuliko hata kufikiria kiwango cha sasa cha wapinzani wao Manchester City kwenye...