Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Vurugu, uharibifu vinavyoziweka matatani Simba, Sfaxien

Vurugu Pict

Muktasari:

  • Mchezo huo wa Kundi A ambao Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1, haukumalizika salama kutokana na fujo zilizotokea ambazo zilisababisha kung’olewa viti 256 vya uwanja huo, kuumia kwa shabiki mmoja na kupigwa refa wa mechi hiyo, Andofetra Rakotojaona kutoka Madagascar.